AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,106
- 22,336
Labda uende the Amazon College, kwanza utuambie ilikuaje ukapata 2.3 yaan sielewi elewi imekuakuaje ukapata 2.3 yaan umeshindwa hata kufika 3.0?je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?
napenda tu sifa mkuu nataka niwazidi watu shule na hela, nataka nisome pgd ya business au lawKama hutaki wa kununua vipi umeishajipanga kuwa serious na masomo. Ili usijetumia muda mwingi kurudiarudia mara supervisor anakurekebisha.
Ukikosa Master's direct kasome Postgraduate kwanza ili upate sifa. Na kwanini unasoma Master's, kama ni kwa ajili yako binafsi basi soma unayotaka na unayopata, kama unataka uongeze CV kazini usisome nje ya kazi yako au fani yako maana itakosa kukubeba.
unyunyu mwingi shule kidogoLabda uende the Amazon College, kwanza utuambie ilikuaje ukapata 2.3 yaan sielewi elewi imekuakuaje ukapata 2.3 yaan umeshindwa hata kufika 3.0?
Hapo hakuna master's labda urudie diploma..unyunyu mwingi shule kidogo
naona kuna faculty open university unasoma postgraduate diploma hyo hata kama masters unataka uswitch usome kitu kingine unaanza na hiyo halafu ndo masterHapo hakuna master's labda urudi diploma..
Ndio maana nikakwambia urudie diploma ndio uende masters tena ukachukulie UK km FA kufupisha muda..naona kuna faculty open university unasoma postgraduate diploma hyo hata kama masters unataka uswitch usome kitu kingine unaanza na hiyo halafu ndo master
GPA ya 2.3? Hio ni College sio Chuo/University..Open University,Mipango,CBE,kile chui cha kiislamu morogoro, TIA, Arusha University
πππ..but why..whyLabda uende the Amazon College, kwanza utuambie ilikuaje ukapata 2.3 yaan sielewi elewi imekuakuaje ukapata 2.3 yaan umeshindwa hata kufika 3.0?
Guys guys listen guys GPA ya 2.3 utasoma wapi masters guys labda kile ile college aliyosoma Wanu Diploma labda labda ukiwapelekea GPA ya 2.3 wanaweza wakakupa masters..πππ..but why..why
.why the amazon college!!πππ
postgraduate diploma unasoma mwaka tu unaanza masters gpa 2.0 uwe na pass tu mengine watafunika kikombe mwanaharam apite hyo hata kama ulisoma md unahamia master za biashara au law unakuja kuchukua masters ya lawGuys guys listen guys GPA ya 2.3 utasoma wapi masters guys labda kile ile college aliyosoma Wanu Diploma labda labda ukiwapelekea GPA ya 2.3 wanaweza wakakupa masters..
mkuu mbona umenikamia sana 2.3 ndio gentlemen gpaGuys guys listen guys GPA ya 2.3 utasoma wapi masters guys labda kile ile college aliyosoma Wanu Diploma labda labda ukiwapelekea GPA ya 2.3 wanaweza wakakupa masters..
collateral damage kuna jamaa angu alidisco amazon collegeπππ..but why..why
.why the amazon college!!πππ
Huko PGD ndio tobo la kupitia kwenda masters kwa wasio na qualifications za kusoma masters?postgraduate diploma unasoma mwaka tu unaanza masters gpa 2.0 uwe na pass tu mengine watafunika kikombe mwanaharam apite hyo hata kama ulisoma md unahamia master za biashara au law unakuja kuchukua masters ya law
ndio mkuu postgraduate haijalishi umesoma kozi gan mfano umesoma ualimu unaweza soma pgd ya law halafu masters ukasoma law kigezo pekee ni uwe na degree halafu uwe genius uwe na gpa above 2.0Huko PGD ndio tobo la kupitia kwenda masters kwa wasio na qualifications za kusoma masters?
Sawa nimekuelewakigezo pekee ni uwe na degree halafu uwe genius uwe na gpa above 2.0
πππmkuu me na akili nyingi ila me mwenyewe sikuamini kilichotokeaWatu wanavyomshukia mleta mada baasi wananikumbusha nilivyokuwa wa mwisho darasa la sita ,mzee aliwaita maunt wote wa buza ,keko na kisiju acha nichambwe na hao ndugu zangu ilihali wengine hata form one hawakufika ππ
Anyway wewe lijamaa hata mimi nakuzidi akili wewe fanya issue zingine shule imekukataa mshikaji usiforce mahusiano nayo