Duuu kwahyo sie tuliopo na hizo agencies ina maana tutafukuzwa kazi?
Yaaaani mimi hapa moja haikai wala mbili haikai, kudadadadadeki!
Duuu kwahyo sie tuliopo na hizo agencies ina maana tutafukuzwa kazi?
Huh? Wewe si kuna wakati ulinipa link ya mtu anayedai anaujua mshahara wa rais? Au nimesahau?
Eti The Boss, kwani mshahara wa rais si unajulikana?
Elly B sijaelewa tangazo hili vizuri. Mfano kampuni ya audit firm ikiombwa kupeleka staff wake kufanya kazi kwa mteja say "three months" hii itahitaji kibali cha commissioner? au nikiwakubalia wahitimu wasio na ujuzi kufanya kazi kwangu kwa kujitolea wakati wanatafuta kazi hii nayo itahitaji kibali? Kwa kiasi fulani Waziri amekurupuka kuna makampuni ambayo hayawezi kuajiri watu wa sekta zote mfano migodini ..canteen, dispensary, blusting, na ulinzi lazima wafuate mfumo huu wa kuajiri kampuni itoe wafanyakaziBinafsi nimeguswa na tamko la serikali kupitia Wizara ya Kazi na Ajira ya kusitisha utaratibu wa udalali wa kukodisha wafanyakazi katika makampuni unaofanywa na baadhi ya Wakala Binafsi wa Huduma za Ajira nchini.
Nimewahi kuajiriwa katika system za hivyo na ni shahidi ni kiasi gani zinavyowasababishia wafanyakazi kero, hasa inapokuja swala la Kujiendeleza kimasomo na likizo. Pia imekuwa chanzo cha unyonyaji wa jasho la wafnyakazi kwani ili alipwe lazima hela yake ipitea kwa Kampuni iliyompatia kazi na hivyo anagawana nayo, mgawo ambao mara nyingi unampunja mfanyakazi huyo. Hii ni tabia common katika makampuni ya ulinzi kama KK Security na Venture Risk Management.
Naamini kama hili litatekelezwa lisaidia kuboresha maisha ya wengi na kwa niaba ya wote napongeza hatua hiyo.
I have reason to believe that Robert Half being the leader that it has been for over half a century now, is operating far and beyond the "barely legal" standards used by the mushrooming mom and pops shops.
Kuna mama mmoja nusura apewe onyo na HR in one of these big global banks on Wall St, kisa aliwauliza consultants aliowaajiri yeye mwenyewe kwamba agencies zao zinawalipa kiasi gani.Turns out kumbe makubaliano kati ya HR ya bank na agency pamoja na makubaliano kati ya agency na consultants yalikuwa na confidentiality clause iliyokataza hawa consultants kujadili hili swali.
Marekani state laws pia zina complicate mambo, kwa hiyo mambo ya Gotham na kwa Atliens yanaweza kuwa si sawa.
inatakiwa ijulikane sababu inapitishwa na Bunge
lakini through media huwa tunasikia sikia mshahara wa Rais ukitajwa
mfano mwaka 1960 mshahara wa rais ulikuwa sh 5000
mwka 1992 ulikuwa 27,000..
Hawa jamaa wamenitesa sana...Mpaka nikatoswa na Demu wangu Halima,mana najulikana nafanya kazi,napata mshahara lkn hata demu wangu akija gheto hakuti mabadiliko,Room iko vilevile,tena chumba kimoja kapeti ya plastic...hakuna friji ya soda wala maji...nikinunua soda naweka kwa Mangi dukani ili zipate ubaridi,hii ilimuudhi sana Halima my sweet heart
Kamshahara hakatoshi hata kumtoa out...akija nikitoa nauli tu baasi ujue bajeti nzima inayumba.Kweli Erolink mmenitesa sana...nikaonekana ni mwanaume nisiye na mipango,sina malengo wala ujuzi wa kutumia kipato changu,Halima akanikimbia akijua mi si husband material,Asante Mama Gaudensia Mugosi Kabaka ni siku nyingi nilifunga na kuomba hawa Erolink wapate mkono wa sheria.
Nilijituma hadi overtime ili nimkumbuke Mama kule kijijini kwa vitenge na batiki,lkn hata hivyo vijihela vya overtime hivi vibepari uchwara vya Erolink vilinidhurumu...sikuwa na jinsi zaidi ya kupata hela ya kula na nauli from hand to mouth,mshahara wangu haukuwahi kukutana,nakajiuliza au mimi sina nidhamu ya pesa??...Erolink umenitesa sana,ukanikimbizia Halima wangu,ukanikosanisha na masela kijiweni waliojua nawabania hela za stamp kutuma application kisa mie nina kazi kumbe laa..
Mpaka kesho mafao yangu ya NSSF sijawahi kuyapata sbb hawakuwa wanapeleka,baadae nikagundua kampuni iliyoniajili ilikuwa inanilipa laki nane na sitini,lkn wajanja Erolink walikuwa wananipa laki mbili na tisini.
Japo nilijinyofoa kwa kuchelewa lkn walininyonya sana na kusababisha kumpoteza Halima wangu,ufanyakazi wangu haukuwa na manufaa...kwangu hata May Mosi haikuwa na umuhimu...
Walinifanya nijikite katika ujasiliamali kuliko kiajiliwa...Nitakukumbuka Halima,kwenye simu yangu nimekusave Halima-Erolink
Kaka better to try than not......I am afraid that this is not solution to the problem and is not the end of your disappointment
Sidhani kama njia muafaka ilikuwa ni kuzipiga marufuku hizo recruitment agencies, bali kuhakikisha kuwa zina-operate kwa mujibu wa sheria au taratibu zilizowekwa.
Ilichotakiwa kufanya serikali ni kulinda maslahi yake pamoja na haki za wale wanaojiriwa na kufanya kazi kupitia recruitment agencies.
Kama recruitment agencies haitafuata sheria au taratibu zilizowekwa, then kuwe na enforcement actions, following by huge fines. Lazima watatii tuu.
Lazima kuwe na restrictions and responsibilities on recruitment agencies na biashara zao, but siyo kuzipiga marufuku. Funga zile ambazo zimekataa kufuata sheria na taratibu tuu.
Kama hii habari ni kweli na imeripotiwa bila kupindishwa, then this is the worst decision for the government. Pia ni ushahidi kuwa serikali inashindwa ku-regulate the emerging businesses across the country.
Siamini kama recruitment agencies is a bad business for the country kiasi cha kuzipiga marufuku. What is bad is the failure of the government to regulate these agencies.
I think kilichopigwa marufuku siyo recruitment agencies bali ni recruitment process outsourcing. Kwa hiyo, agencies kama Radar Recruitment hawadhuriki na huu uamumzi.
Lakini kuna baadhi ya makampuni yanafanya both as recruitment agencies as well as recruitment process outsourcing. Kwa maana hiyo itabidi hizo kampuni ziachane na recruitment process outsourcing na kubakia kama recruitment agencies. Mfano: Erolink | Developing today's managers into tomorrow's leaders.
ila pia nilichonukuu kwa waziri wakati akiongea na clouds kwenye kipindi cha jahazi, amezipa muda kubadili mfumo wao wa kazi kwa kuhakikisha mfanyakazi yeyote anayepitia kwao anaajiriwa rasmi na kampuni husika kwa kupewa mkataba halali wa ajira wenye mafao ya uzazi, bima ya afya, kulipa kodi, mifuko ya jamii na mambo yote yanayohusika na kazi na wao kutohusika tena na mfanyakazi huyo mara baada ya kupewa mkataba rasmi wa ajira na wao watanufaika kwa commission watakazokuwa wanapewa na makampuni ya kazi.......................wamepewa muda wa siku 30 kukamilisha usajili rasmi wa makampuni yao...na kukabidhi wafanyakazi wote walio chini yao kwa makampuni husika..
Sidhani kama njia muafaka ilikuwa ni kuzipiga marufuku hizo recruitment agencies, bali kuhakikisha kuwa zina-operate kwa mujibu wa sheria au taratibu zilizowekwa.
Ilichotakiwa kufanya serikali ni kulinda maslahi yake pamoja na haki za wale wanaojiriwa na kufanya kazi kupitia recruitment agencies.
Kama recruitment agencies haitafuata sheria au taratibu zilizowekwa, then kuwe na enforcement actions, following by huge fines. Lazima watatii tuu.
Lazima kuwe na restrictions and responsibilities on recruitment agencies na biashara zao, but siyo kuzipiga marufuku. Funga zile ambazo zimekataa kufuata sheria na taratibu tuu.
Kama hii habari ni kweli na imeripotiwa bila kupindishwa, then this is the worst decision for the government. Pia ni ushahidi kuwa serikali inashindwa ku-regulate the emerging businesses across the country.
Siamini kama recruitment agencies is a bad business for the country kiasi cha kuzipiga marufuku. What is bad is the failure of the government to regulate these agencies.
I think kilichopigwa marufuku siyo recruitment agencies bali ni recruitment process outsourcing. Kwa hiyo, agencies kama Radar Recruitment hawadhuriki na huu uamumzi.
Lakini kuna baadhi ya makampuni yanafanya both as recruitment agencies as well as recruitment process outsourcing. Kwa maana hiyo itabidi hizo kampuni ziachane na recruitment process outsourcing na kubakia kama recruitment agencies. Mfano: Erolink | Developing today's managers into tomorrow's leaders.
Katika mambo machache niliyokubaliana na Papa mwenzangu Benedict XVI mojawapo lilikuwa hili la kupinga ajira zisizo za kudumu.
Watu wanashindwa kufanya mambo ya kudumu kwa sababu ajira zao zinaelea elea hewani.
Halafu, hii nchi inabidi tuelezane ukweli kwamba ujamaa ushazikwa.
I can almost hear mchonga on his Mbeya May day speech lamenting about the perils of the commoditization of labor.
We ni Papa wa wasio amini Mungu yupo?