Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,493
- 151,701
Sidhani kama njia muafaka ilikuwa ni kuzipiga marufuku hizo recruitment agencies, bali kuhakikisha kuwa zina-operate kwa mujibu wa sheria au taratibu zilizowekwa.
Ilichotakiwa kufanya serikali ni kulinda maslahi yake pamoja na haki za wale wanaojiriwa na kufanya kazi kupitia recruitment agencies.
Kama recruitment agencies haitafuata sheria au taratibu zilizowekwa, then kuwe na enforcement actions, following by huge fines. Lazima watatii tuu.
Lazima kuwe na restrictions and responsibilities on recruitment agencies na biashara zao, but siyo kuzipiga marufuku. Funga zile ambazo zimekataa kufuata sheria na taratibu tuu.
Kama hii habari ni kweli, then this is the worst decision for the government. Pia ni ushahidi kuwa serikali inashindwa ku-regulate the emerging businesses across the country.
Siamini kama recruitment agencies is a bad business for the country kiasi cha kuzipiga marufuku. What is bad is the failure of the government to regulate these agencies.
Kinachotokea hapa ni habari ya "Mtego wa panya uwanasao wakusudiwao na wasokusudiwa".
Recruitment agencies zina mengi ya kutia shaka na hasira, si Tanzania tu, mpaka wenzetu walioendelea na kuweka misingi ya tawala za sheria tunaliona hili. Hususan kwa sababu mambo ya ajira yanagubikwa na usiri unaotetewa na mikataba ya kikazi pengine. Unaingia kwenye recruitment agency kitu cha kwanza inakupa ku sign ni confidentiality notice, ambamo humo unaona kwamba huruhusiwi kujadili mshahara wako na huko utakapofanya kazi (especially so when it comes to consultancy jobs).
Kwa hiyo ndipo hapo unakuta habari kama hizo zilizosemwa za madereva hapo juu. Agency inakulipa 270,000, mtu unatoka bench ulikuwa huna kazi unasema hewalla. Kisha ushaambiwa huna ruhusa kuzungumzia mshahara huko utakakofanyia kazi. Kumbe huko unakofanyia kazi wanawalipa agency 400,000 , wajanja wanachikichia130,000 nzima kama vile wanapinda mgongo na wewe.
Nakubaliana na wewe kuna namna za ku regulate haya mambio, kwa mfano, serikali inaweza kuweka sheria mama inayoongoza confidentiality clauses zote, kwamba mfanyakazi ana haki ya kujua akilipwa kiasi x, agency inalipwa kiasi gani.Kumlinda asifanywe punda na wajanja wachache ambao watakuja kugawana naye mshahara nusunusu tu eti kwa sabbau wao ndio wamefungua kikampuni kilichomuunganishia kazi, wakati kwa misingi yetu ile ya zamani ya Azimio la Arusha huu ni ukupe tu, hawana wanalochangia la maana hivyo, at best they should get a one time fee, from the employer.
On the other hand, serikali kuingilia sana mambo ya biashara za watu binafsi pia inajionesha iko anti-business and anti enterpreneur. Kitu ambacho wafanyabiashara wakubwa/ wawekezaji wanakiangalia. Inaweza kujenga image ya kwamba ina meddle too much in the free market (as dubious as the entire "invisible hand" idea is, some people still put so much stock in it).
Kwa hiyo, middle ground between banning the agencies and letting them scott free in a laissez-faire heaven, your solution, that of regulating the industry, even severely regulating them with stringent stipulations, is much preferrable to me.
That way, the government will neither be totalitarian nor sleeping at the wheel.