Gov. Ndullu na Msajili Mafuru: Tunajifunza nini?

Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.

Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.

Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.

Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.

1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??

2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.

3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.

4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!

5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.

6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.

Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!

I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.

NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.

Masanja
Kaka Masanja una akili sana! Siyo nidhamu kumpinga Rais hadharani ukiwa mteule wake! Soma A man of the People jinsi Waziri wa Fedha Dr Makinde na PhD yake alipotofautiana na Serikali yeye na mawaziri wenzake watatu walitimuliwa!
 
Halafu mtu kama unaona unachokiamini sio sawa na Boss wako si ujiuzulu tu kulinda heshima yako ? Unasuburi nini kudhalilishana kwa kutumbuliwa ?
Njia za kujiuzuli ziko nyingi na bwana huyo amechagua kujiuzuli kupitia njia hiyo lililo muhimu amezungunza lile analoliamini yeye HONGERA kwake
 
Mkuu sijui Kama umenisoma na kunielewa. Iam not saying kwamba watumishi WA umma wakubali kufanya madudu ilmradi tuu in watumishi wa umma. Hapana. Ninachojaribu kuongelea hapa in kitendo cha Mafuru kutoa kauli tata kinyume na mwajiri wake. Tena in public. It is is simple Kama hukubaliani na mwelekeo husika, basi kaa Pembeni. Sahihi kabisa watu wana haki ya kuonyesha kutoridhishwa na mambo fulani. Lakini lazima tuwe makini. Unafikiria Kipi kitatokea Leo CDF Mwamunyange au CI Magufuli atoe amri na jeshi likatae kwa sababu ya kutoridhishwa na mambo yanavyokwenda?

Mara ngapi Obama amewapumzisha senior military officers kwa kupingana na msimamo wake kuhusu vita vya Iraq au Afghanistan?

..@Masanja nilichofanya mimi ni kuchokoza mjadala.

..nimeona kama vile hoja yako haikuwa balance baina ya anayeteua vs aliyeteuliwa.

..vilevile nimeangalia mazingira ya Tanzania, tulipotoka na hapa tulipo.

..nadhani nchi yetu imefika hapa ambapo kila mahali kuna MADUDU/MAJIPU kwasababu watu kutokuambiana ukweli.

..kwa mfano, Magufuli alipokuwa waziri alikuwa ndiyo cheer leader nambari wani wa JK. Lakini leo amekuwa Raisi analalamika kwamba nchi imeoza na kila mahali kuna ubadhirifu.

..au majuzi alilalamika kuhusu mchanga wa madini kusafirishwa nje ya nchi. Lakini Magufuli alikuwepo ktk serikali na cabinet iliyopitisha uamuzi/mkataba ulioruhusu mchanga wenye madini kusafirishwa nje.

..kwa hiyo mimi hoja yangu ni kwamba watumishi wa umma na waTz kwa ujumla tusimame ktk UKWELI, HAKI, na MAADILI.

..Hoja yako kuhusu cdf vs cic kutokukubaliana naona is an extreme and rare scenario ya hoja iliyoko ktk jukwaa. Kuna mambo mengi hapa katikati yanafanyika bila kufuata sheria na taratibu.

..kuna watumishi kama Gavana, Jaji Mkuu, ... ambao ajira zao zinapaswa kuwekewa vifungu vya kuwalinda ili maamuzi na utendaji wao usiingiliwe na wanasiasa.

..Again, hoja yako ni nzuri tu ila na mimi niliona " nichomekee " yangu machache.

..@Masanja mimi na wewe tumetoka mbali na hii JF kwa hiyo usinione kama nakusumbua.
 
Nimependezwa na uandishi wako Masanja nimefananisha sana na uandishi na mpango wa hoja wa kaka tulieambiwa tafsiri ya jina lake ni njaa
 
Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.

Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.

Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.

Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.

1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??

2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.

3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.

4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!

5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.

6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.

Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!

I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.

NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.

Masanja
Nimekupa like yangu, lakini nadhani umeandika kwa kuamini kwamba hao watu wawili wamefanya makusudi. Yes, wamefanya jambo ambalo hawakulazimika kulifanya. Kwa ufahamu wangu watu hawa hawana uwezo wa critical thinking. Kwa govoner Ndulu unaweza ukampa sifa kwa kuamini ni profesa, lakini inapokuja kwenye personal judgement na forecasting ya maamuzi anayoyafanya leo, naamini anaweza kuwa mtu mwenye uwezo mdogo sana!

Mwenzake ndo kabisa, maana historically, hakuna alipoonyesha umahili wake. Kwa ujumla hawa ni watu waliokwisha jisahau siku nyingi na huenda ukiwauliza wanaweza kuwa wanaamini pengo lao halizibiki.
 
Mkuu Asante sana. Umenielewa vema. Naamini Kabisa Ndullu na Mafuru walijisahau. Kwa mtu mwenye uelewa wake huwezi ukafanya waliyoyafanya mbele ya kiongozi wa nchi. Tena JPM.

Hakuna mtu indispensable duniani. Ukibandua mgumu wengine wanabandika. Kama watabahatika kupewa dhamana ya utumishi sehemu nyingine (Mafuru) basi inabidi hili liwe somo tosha.
 
..@Masanja nilichofanya mimi ni kuchokoza mjadala.

..nimeona kama vile hoja yako haikuwa balance baina ya anayeteua vs aliyeteuliwa.

..vilevile nimeangalia mazingira ya Tanzania, tulipotoka na hapa tulipo.

..nadhani nchi yetu imefika hapa ambapo kila mahali kuna MADUDU/MAJIPU kwasababu watu kutokuambiana ukweli.

..kwa mfano, Magufuli alipokuwa waziri alikuwa ndiyo cheer leader nambari wani wa JK. Lakini leo amekuwa Raisi analalamika kwamba nchi imeoza na kila mahali kuna ubadhirifu.

..au majuzi alilalamika kuhusu mchanga wa madini kusafirishwa nje ya nchi. Lakini Magufuli alikuwepo ktk serikali na cabinet iliyopitisha uamuzi/mkataba ulioruhusu mchanga wenye madini kusafirishwa nje.

..kwa hiyo mimi hoja yangu ni kwamba watumishi wa umma na waTz kwa ujumla tusimame ktk UKWELI, HAKI, na MAADILI.

..Hoja yako kuhusu cdf vs cic kutokukubaliana naona is an extreme and rare scenario ya hoja iliyoko ktk jukwaa. Kuna mambo mengi hapa katikati yanafanyika bila kufuata sheria na taratibu.

..kuna watumishi kama Gavana, Jaji Mkuu, ... ambao ajira zao zinapaswa kuwekewa vifungu vya kuwalinda ili maamuzi na utendaji wao usiingiliwe na wanasiasa.

..Again, hoja yako ni nzuri tu ila na mimi niliona " nichomekee " yangu machache.

..@Masanja mimi na wewe tumetoka mbali na hii JF kwa hiyo usinione kama nakusumbua.

Bro. Wala usihofu tunajuana. Umetoa Mfano maridhawa kabisa. JPM alikuwa cheerleader wa JK. Wakati madudu mengi yanafanyika serikalini au makaburi anayoyaogopa leo Yakiwa yanachimbwa! Lakini si unaona alikaa kimya? Kama angempinga JK in public alikuwa Hana budi kukaa Pembeni. Na kwa vile alikuwa Hana guts za kuachia ugali ndo maana alikaa kimya akawa yes man. Ndo swala la Ndullu na Mafuru. Kama wanaona utalaamu wao hauthaminiwi au jamaa hajui basic economics, basi hawana budi kutafuta mahusiano na mwajiri mwingine.
 
Mkuu Asante sana. Umenielewa vema. Naamini Kabisa Ndullu na Mafuru walijisahau. Kwa mtu mwenye uelewa wake huwezi ukafanya waliyoyafanya mbele ya kiongozi wa nchi. Tena JPM.

Hakuna mtu indispensable duniani. Ukibandua mgumu wengine wanabandika. Kama watabahatika kupewa dhamana ya utumishi sehemu nyingine (Mafuru) basi inabidi hili liwe somo tosha.
An ugly truth is better than a sweet lie!
Mh Rais,unamaana gani kusema kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu?Na kwamba wewe una hofu ya Mungu!Mbona umeambiwa ukweli ukapanic,hasa lile la "hakuna anayelipwa mil 40" ndio lilikukera sana!
 
Mkuu Asante sana. Umenielewa vema. Naamini Kabisa Ndullu na Mafuru walijisahau. Kwa mtu mwenye uelewa wake huwezi ukafanya waliyoyafanya mbele ya kiongozi wa nchi. Tena JPM.

Hakuna mtu indispensable duniani. Ukibandua mgumu wengine wanabandika. Kama watabahatika kupewa dhamana ya utumishi sehemu nyingine (Mafuru) basi inabidi hili liwe somo tosha.
Nimewahi kuwa ktk mkutano na Mafuru wakati ule akiwa BRN. Nilichoona ni mtu ambaye ktk nafasi hiyo, aliamini kabisa kwamba hakuna mwingine. Hakuwa msikivu. Kila wakati alikuwa na haraka na kuonyesha anakutana na watu 'muhimu' sana!! Kwa wanasaikolojia, ungeweza kuona anavyojiweka kama mtu mwenye akili ya juu ya binadamu wengine. Hiyo ni balaa kwa mtu ambaye alijua nafasi ilikuwa ni upendeleo mkubwa sana, ukilinganisha na elimu yake.
 
Unaongea utafikiri hao jamaa wamelisaidia taifa pakubwaaa.... Ndulu toka awe BOT thamani ya fedha imeendelea kushuka kila siku! Sioni huo usomi wa ndulu!

Sasa Ndulu yeye ataipandishaje wakat had toothpick zinatoka china?viwanda vya kina dangote vimesimama tutaacha agisa cement ya PAKISTAN?
Ndulu afanyeje kama nchi hii hata chupi tu had zitoke TAIWAN!
 
Masanja,
I can smell a rat, a tribalism kind of smell!
Ndugu yako Magufuli asitake kuongoza watu kwa vitisho,ubabe na udikiteta! Prof. Ndullu na Mafuru walilizungumza jambo hili Professionally based on FDA Policies&Regulations na siyo kupingana na Rais!
Mwl. Nyerere(RIP)alisema enzi za uhai wake KIONGOZI LAZIMA AKUBALI KUKOSOA NA KUKOSOLEWA!
Tatizo linakuja pale Kiongozi wa nchi,taasisi au chombo chochote cha Serikali anapojifanya yeye ni "mungu mtu"asiyekosea,akisema jambo lake ni "mungu" kasema na uamzi wake ndiyo wa mwisho hata kama kakosea! Na kwamba yeye yuko juu ya Katiba na Sheria!
Kwa sasa huyu ndugu yako Magufuli ndivyo anavo itawala nchi yetu! Kiongozi yeyote akitofautiana na JPM hata kama jambo liko wazi kisheria/kikatiba yeye atamfukuza kazi!!!!Utawala gani huu kama si udikteta tu kama madikteta wengine wanavyofanya?

Je, tufuate kila analosema Rais hata kama liko nje ya Katiba na Sheria?Jibu ni HAPANA! Ila kwako Masanja kwa vile Rais ni kabila yako endelea kushangilia na kum-support Rais msukuma mwenzio and very likely he can remember you in his kingdom very soon because it is something he is doing now!
Wewe fanya utafiti mdogo tu kuona how many Sukuma people are holding various posts in JPM government!!!!

Cc Masanja
 
Sasa Ndulu yeye ataipandishaje wakat had toothpick zinatoka china?viwanda vya kina dangote vimesimama tutaacha agisa cement ya PAKISTAN?
Ndulu afanyeje kama nchi hii hata chupi tu had zitoke TAIWAN!

Ndullu, should be part of the solution. Siyo mtu wa kulialia kama Mimi na wewe. Ndo maana kapewa nafasi.
 
Yeah! that's what he wants, his subordinates to support his lies.....You want the TRUTH! You can't handle the truth. Now his subordinates are punished just because of calling spade a SPADE.

So all public servants should just lie down and play dead.....
 
hahahahaha.....hapana Mkuu. Ni kustate the obvious! Katika hii miaka mwenyezi Mungu ambayo amenijalia..nimeshayaona mengi. Nimeshafanya kazi na maboss &[HASHTAG]#039[/HASHTAG];wakorofi&[HASHTAG]#039[/HASHTAG]; tena kwenye politically and diplomatically sensitive positions. I know what I am talking abut.
UMEELEZA KITU KIKUBWA
 
Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.

Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.

Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.

Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.

1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??

2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.

3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.

4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!

5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.

6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.

Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!

I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.

NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.

Masanja
Hapa tunapiga ramli tu hatujui nini hasa kimemuondoa, nimeona jana na wasomi wengine wakisema hivi hivi kuwa kauli ya Mafuru ndiyo iliyomuondoa, tuna uhakika kiasi gani?

Sababu za kumuindoa hazijawekwa wazi kwanini sisi tujifanye tunajua sababu?

Tusihukumu, tusiusemee moyo
 
The underlined shows the kind of a person you are. Do you know me? do you know what I do for my living? Anyway I should not dignify your assumptions with a response. Well, possibly naweza kuwa na njaa (in your thinking). But all I can assure you, I honorably earn my living. I don't steal any shilling from anybody. And I am happy with what I do.

great
 
Back
Top Bottom