Inategemea unataka nn,mm bila yaccine tv na wasap gb siwez kabisa,i feel incomplete so iphone aint an option for meAsee, tumsaidie na kijana mwezetu apate 1.5M anunue hata 11 Pro ajionee tofaut ya Simu na calculator yake ya google pixel
Mkuu unantoa udenda ujueNipo sealander na google pixel njooni mniue watu wa iosView attachment 2393737
Hujaedit kwel?Night sight ya pixel 3axl em iphone jitokezen tuwekeane battleView attachment 2393849
13 pro more clear na inavutiaPixel 6 pro is better than iphone 13 . Narudia tena in today's world of smart phones watu wanataka
1. Good quality camera (its all about pictures)
2. Simplicity (no limits)
3. Design (look)
4. RAM
5. Battery life
Kwenye hayo maeneo hapo juu ni kipi iphone 13 wamemshinda google pixel 6 pro? hakunaView attachment 2393979
DuhTatizO la pixel kadri unavyoitumia kioO kinatengeneza ukungu ambao hautoki yaan hapo tu ndio inaponichosha pixel, ni simu Kali ila ikianza kutengeneza ukungu
very fair[emoji344]bei mpya za simu Used za Google pixel(but clean as new[emoji95]), mabingwa wa camera[emoji991] duniani, kutoka marekani
pixel 3a(64gb) 280,000Tsh
pixel 3axl(64gb) 320,000Tsh
pixel 3xl(64gb) 390,000Tsh
pixel 4 (128gb) 480,000Tsh
pixel 4a(128gb) 440,000Tsh
pixel 4a 5g (128gb) 580,000Tsh
pixel 4xl(64gb) 500,000Tsh
pixel 4xl (128gb) 600,000Tsh
pixel 5 (128gb) 700,000Tsh
pixel 5a (128gb) 770,000Tsh
pixel6a(128gb) 1,000,000Tsh
pixel6pro (128gb) 1,300,000Tsh
six months warranty [emoji736]
WAKUU HIZI BEI NI FAIR??? USED
Hii pixel ngap mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseeee[emoji119][emoji119][emoji119]Hiyo ni google pixel 4a 5gView attachment 2403678
Swala la pixel kupungua ubora baada ya mda ni kweli???Nawajulisha tu, Google Pixel 7 pro imezidiwa kamera na simu zifuatazo
Xiaomi 12S Ultra
Xiaomi 13 pro
Apple iPhone 14 Pro Max
Kiukweli mi sijui kwa sababu sijawahi tumia hizo simuSwala la pixel kupungua ubora baada ya mda ni kweli???
Ndugu duniani simu watu wanaotaka kumtoa Iphone kwenye reli ni google hili wamelithibitisha kwenye simu yao mpya ya pixel 7 pro. Google wanamiliki Android na ndio wanaoshinikiza matumizi ya type c kwa simu zote zinazokuja. Ukiona mtu anataja samsung, iphone, xiaomi kwenye kundi moja na pixel huyo hajui GOOGLE ni wakina nani na Mission yao ni nini.Swala la pixel kupungua ubora baada ya mda ni kweli???
Google Pixel ni simu nzuri sana lakini usipotoshe watu kwa kukandia Samsung, iPhone na Xiaomi mbele ya Google Pixel.Ndugu duniani simu watu wanaotaka kumtoa Iphone kwenye reli ni google hili wamelithibitisha kwenye simu yao mpya ya pixel 7 pro. Google wanamiliki Android na ndio wanaoshinikiza matumizi ya type c kwa simu zote zinazokuja. Ukiona mtu anataja samsung, iphone, xiaomi kwenye kundi moja na pixel huyo hajui GOOGLE ni wakina nani na Mission yao ni nini.
Currently ni vita kati ya IOS (Apple) na Android (google) hawa wengine wanasindikiza baada ya miaka 2 hutasikia iphone kama unavyosikia sasa
Umemaliza kila kituGoogle Pixel ni simu nzuri sana lakini usipotoshe watu kwa kukandia Samsung, iPhone na Xiaomi mbele ya Google Pixel.
Fuatilia tu mwenyewe kwenye battle ya Samsung Galaxy S22 Ultra Vs iPhone 14 Pro Max Vs Xiaomi 13 Pro Vs Google Pixel 7 Pro, utagundua kuwa Google Pixel ndio ataibuka wa mwisho hapo
Hizo iPhone 14 Pro Max, Galaxy S22 Ultra na Xiaomi 13 Pro zote zinaweza kurekodi video katika resolution ya 8K lakini hiyo Google Pixel 7 Pro unayoisemea inaishia 4K.
Pia kamera za Xiaomi 13 Pro na iPhone 14 Pro Max zote ziko juu ukilinganisha na Google Pixel 7 Pro, kikubwa tu kwenye hiyo Pixel 7Pro ni kwamba inarekodi 4K hadi kwenye selfie camera, na hiko kitu hata iPhone 14 Pro Max inafanya.
Google Pixel 7 Pro inatumia chipset ya Google Tensor G2 ambayo ni weak ukilinganisha na Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 ambayo inatumiwa na Xiaomi 13 Pro kwa hiyo Xiaomi 13 Pro ni stonger na faster kuliko Google Pixel 7 Pro.
Samsung, iPhone na Xiaomi wana simu zenye 1TB storage, Google Pixel kaishia 512GB. Angalia Xiaomi Mix Fold 2, ina mpaka 1TB
Google Pixel anajivunia sana kamera ila safari hii amepitwa na iPhone na Xiaomi.
Sasa uspecial wa Google Pixel ni nini ukilinganisha na Samsung, iPhone na Xiaomi[emoji38][emoji38]
We take the throne after one year, if dont see xiaomi it might be in the TECNO groupUmemaliza kila kitu
We take the throne after one year, if dont see xiaomi it might be in the TECNO groupGoogle Pixel ni simu nzuri sana lakini usipotoshe watu kwa kukandia Samsung, iPhone na Xiaomi mbele ya Google Pixel.
Fuatilia tu mwenyewe kwenye battle ya Samsung Galaxy S22 Ultra Vs iPhone 14 Pro Max Vs Xiaomi 13 Pro Vs Google Pixel 7 Pro, utagundua kuwa Google Pixel ndio ataibuka wa mwisho hapo
Hizo iPhone 14 Pro Max, Galaxy S22 Ultra na Xiaomi 13 Pro zote zinaweza kurekodi video katika resolution ya 8K lakini hiyo Google Pixel 7 Pro unayoisemea inaishia 4K.
Pia kamera za Xiaomi 13 Pro na iPhone 14 Pro Max zote ziko juu ukilinganisha na Google Pixel 7 Pro, kikubwa tu kwenye hiyo Pixel 7Pro ni kwamba inarekodi 4K hadi kwenye selfie camera, na hiko kitu hata iPhone 14 Pro Max inafanya.
Google Pixel 7 Pro inatumia chipset ya Google Tensor G2 ambayo ni weak ukilinganisha na Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 ambayo inatumiwa na Xiaomi 13 Pro kwa hiyo Xiaomi 13 Pro ni stonger na faster kuliko Google Pixel 7 Pro.
Samsung, iPhone na Xiaomi wana simu zenye 1TB storage, Google Pixel kaishia 512GB. Angalia Xiaomi Mix Fold 2, ina mpaka 1TB
Google Pixel anajivunia sana kamera ila safari hii amepitwa na iPhone na Xiaomi.
Sasa uspecial wa Google Pixel ni nini ukilinganisha na Samsung, iPhone na Xiaomi[emoji38][emoji38]
Ukaaji wake wa chaji upoje?Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
View attachment 2380916View attachment 2380917