Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Pixel zisemwe za nyuma Ila kuanzia 6 na kuendelea ile ni pure samsung flagship yenye software inayoendana na hardware
Kwa lugha rahsi tunaweza ziita samsung galaxy note line kutoka google
Tusichanganye videography na photography upande wa picha pixel wanaupiga mwing ase
Ukwel useme 14 pro kwa 7pro hatoboi
Pia kuna xiaomi 12s ultra (ina picha zake wa iphone mtazipiga 2024)
M nimewaambia pixel waipe 3yrs itashika no.3 saiv
1.samsung
2. Iphone

Miaka 3 mbele
Pixel atakamata soko
 
Mbona wanishawishi kuipga chini Samsung maana nmefunga nao mkataba ebu nipe reason za kuipiga Samsung Galaxy note 10 plus Gb 256
Sababu ni hizi hapa tiririka na hiz picha utapata sababu ya kwanini unahitaji pixel note 10 vs pixel 5a comparison
Screenshot_20221027-230402.jpg
Screenshot_20221027-230411.jpg
Screenshot_20221027-230417.jpg
Screenshot_20221027-230425.jpg
Screenshot_20221027-230433.jpg
Screenshot_20221027-230440.jpg
 
Hivi huvuti bangi kweli ni kipi hapo kilicho mzidi note 10 plus sana sana naona note 10 plus ndio iko juu kwa kila kitu hapo
Kusoma pia unashindwa mkuu? Labda wewe kwenye kuangalia ubora wa simu hua unaangalia vitu gani yani.
 
Hivi huvuti bangi kweli ni kipi hapo kilicho mzidi note 10 plus sana sana naona note 10 plus ndio iko juu kwa kila kitu hapo
Rudi shule mkuu Yani mpaka hapo huoni Samsung kazidiwa wapi au unaongea kishabiki maandazi
 
Kusoma pia unashindwa mkuu? Labda wewe kwenye kuangalia ubora wa simu hua unaangalia vitu gani yani.
Jamaa arudi shule Samsung kapigwa seem nyingi tu iyo note 10plus za Dubai sijui china chakwanza zinaishia android 12 labda sijui original version yake ya Korea itakuwa labda inaenda Hadi 13 ila pixel 4xl kupanda juu inakubali android 13
 
[emoji16][emoji16]note 10 imetoka 2019 ina mwaka 4 na nusu duniani.hiyo pixel yako ina mwaka mmoja na robo duniani,kwa sababu hii tu hata infinix bado itakuwa juu kwa note 10.

swala la update kwa pixel sio ishu maana hata simu ya 2017 bado inachukua android 13 but twende kwenye ubora na uwezo.

pixel 5a kwa note 10plus iende kwanza ikaendelee kupiga picha.
 
Jamaa arudi shule Samsung kapigwa seem nyingi tu iyo note 10plus za Dubai sijui china chakwanza zinaishia android 12 labda sijui original version yake ya Korea itakuwa labda inaenda Hadi 13 ila pixel 4xl kupanda juu inakubali android 13
Kumbe unapima ubora wa simu kwa kuangalia android version basi tuseme na tecno camon 19 yenye android 13 ni bora kuliko Note 10 plus inayo ishia android 12
 
Elimu ya nani inatatizo yangu au yako? You can tell quality ya picha kwa tazama Resolution, Sharpness, contrast, na clarity haijalishi umepiga na simu gani au subject gani kilaza wewe
Cheki ulivyo mpuuzi.

Unadhani hayo unayoyasema yapo kwenye hizo picha hapo juu?

Au vile unamiliki Pixel unadhani kila picha ni nzuri?
 
Kumbe unapima ubora wa simu kwa kuangalia android version basi tuseme na tecno camon 19 yenye android 13 ni bora kuliko Note 10 plus inayo ishia android 12
Wapi nimesema napima ubora wa simu kupitia version??? Nimekwambia angalia mwenyewe Samsung alichozidiwa hapo kwanza ubora wa Samsung una consist na software kiujumla sa utakuwahe na latest features kama simu Yako hata 13 droid haifiki
 
Mkuu umewahi miliki samsung gani ?

Yaani niache hii Samsung note 10 plus nikimbilie Google pixel [emoji1787][emoji1787] utani wa ngumi mwisho wa siku utanambia ninunue infinix

Mimi kwangu simu n

1. IPhone
2. SAMSUNG
3. NOKIA

Mimi sio mpenzi wa IPhone but siwez toka hapo juu niende kwingine aisee
 
Labda nipige chini hii Note 10 plus nipande juu yake iwe samsung lakin sio kumiliki Google pixel

Now Nina miliki Samsung note 10 plus and A52 nlianza na A52 ndo nkaongeza Note 10 Plus samsung Nina mahaba nao aisee upande wa simu
 
Back
Top Bottom