Google pixel 5a 5g

Niliwahi kuona hiyo battle youtube ya google pixel, samsung s21 na iphone 13 pro max upande wa camera. Samsung aliibuka mshindi japo wengi tulitarajia Google angeshinda.

Samsung anakupa kila kitu unachohitaji ktk simu, ila kwa ubora wa simu, ofkoz Iphone ni mzuri zaidi.
 
Ha ha ha ha
 
Iphone 11 walibuki Ile ni 7+ ilio changamka Ila ukiniwekea 11 na xs nachukua xs kwanza ugonjwa wangu mkuu wa simu iwe na display kaliii Yani AMOLED,OLED,p oled nna Bora nibaki na kitochi kuliko kutumia simu yenye LCD display
Kwenye kioo ndo hapo samsung alipotuweza. Huwa sitamani kutoka nje ya samsumg, display zao ni moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…