Google Adsense

Google Adsense

Atimae nimepata adsense
adsense si chochote si lolote utafungiwa tuu hata ufuate sheria zao, leo zaidi ya blogger sita wamefungiwa account zao ninaowafahamu mmoja ilikua na dollar 1,200$(tarehe ya malipo ni tarehe 21), na utaishi kwa pressure tupu kila ukikaribia kulipwa wanakufungia.. jaribu revenuehits na propeller ....hua tunalaza mpaka dollar 150$ per day.. cheki hapa mpaka reload ya mwisho kesho saa nne zimefika mia.
proppz.PNG
 
Attachments

  • propeller111.PNG
    propeller111.PNG
    6.2 KB · Views: 61
  • propeller111.PNG
    propeller111.PNG
    6.2 KB · Views: 79
adsense si chochote si lolote utafungiwa tuu hata ufuate sheria zao, leo zaidi ya blogger sita wamefungiwa account zao ninaowafahamu mmoja ilikua na dollar 1,200$(tarehe ya malipo ni tarehe 21), na utaishi kwa pressure tupu kila ukikaribia kulipwa wanakufungia.. jaribu revenuehits na propeller ....hua tunalaza mpaka dollar 150$ per day.. cheki hapa mpaka reload ya mwisho kesho saa nne zimefika mia.
View attachment 472163
mkuu tunaomba utuwasilishie chek uliyoipata kwenye propeller ya kutoa mkwanja
 
kweli hii dunia ina vituko..nakushauri tafuta ma-group ya ma-blogger wakongwe uone watu wanavyopiga mpunga mrefu, kila kitu utashuhudia huko, utapata na maarifa mengi, hapa jf huwezi kuelewa chochote.. mimi nimekuja kutoa ushauri tuu, sio kukuaminisha..
 
bc usingeleta ushauri km uwez kutoa ufafanuz vizuri,acha ubabaishaji boy
 
Asante kwa ushauri
 
Ww unatumia ipi ? Na naomba link ya iyo blog yako nicheck jinsi matangazo yao wanavyoweka
 
bc usingeleta ushauri km uwez kutoa ufafanuz vizuri,acha ubabaishaji boy
tatizo ujuaji mwingi ndio unawaponza ma-blogger wachanga, kila siku mnalia tunafungiwa account mkipewa ushauri mnataka cheque za propeller that is nonsense...++>> hata hujua malipo ya propeller yanafanyika kwa njia gani??,, unadhani wanalipa kwa cheque???endelea kupambana na adsense tuu na utafungiwa mpaka uzeeni,,, kwa sasa approx 85% ya blogger wakongwe hakuna anayejaribu kugusa adsense,, hizo adsense tumefungiwa sana wengine zikiwa na dollar 3000$-5000$.. Tatizo umeijua adsense juzi(am sure hauna miaka miwili kwenye adsense) huwezi kuelewa mambo yanavyokwenda..
 
tatzo ujajua mm ni nan ungejua cjuiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom