Google Adsense

Google Adsense

usichanganye,,, adsense ni very sensitive itapelekea kufungiwa.. adsense hawataki pop ads, au kama unaweka propelaller weka matangazo ya direct links tuu, pia ukichanganya adsense na pop ads ni vigumu kupata chochote kwenye adsense ..
****Fanya adsense katika clean environment**** dont mix***
Sisi tunakomaa na propeller na revenue hits tuu..
View attachment 473911
Unaweza kuweka screen shot ya Direct link ad ya propeller inayoonekana kwenye blog/ site ?
 
Daah Nimekukubali Mazagazagaa jinsi unavyomwagika Good. But wakuu bongo kila mtu anaisifia na kuitaji sana hii adsense wakati nikipta pita kwenye baadhi ya blog za majuu naona wanaisifu sana yahoo media net na ndio ambayo wanasema iko vyema sana ata katika kumake mkwanja compared na Google AdSense ivi iko iko vipi tataaramu na nini uzuri wake na ubaya wake

[HASHTAG]#mazagazagaaa[/HASHTAG] na mtoa mada
 
mkuu tunaomba utuwasilishie chek uliyoipata kwenye propeller ya kutoa mkwanja
--
ngoja nikuridhishe... propeller hawatoi cheque.. hii ni payment receipt
payment receipt.PNG
 
New non hosted google adsense account for sale 35,000/-

+gmail account and blog ilioombea 50,000/-
 
Naomba kueleweshwa kuhusu kuwa na blog yenye manufaa kibiashara, maelezo kuhusu adsense na jinsi ilivyoimara au dhaifu ktk kutengeneza faida. Je siku hizi adsense wanakikubali kiswahili?
 
Naomba kueleweshwa kuhusu kuwa na blog yenye manufaa kibiashara, maelezo kuhusu adsense na jinsi ilivyoimara au dhaifu ktk kutengeneza faida. Je siku hizi adsense wanakikubali kiswahili?
Kwa hapa Tanzania Blog haina faida kama hutakuwa na Adsense au Propelar ads Ni kama utakuwa unafanya kazi bure.
Adsense inalipa na zaidi ukiwa unajua kutafuta traffik na kuandika makala nzuri ambazo zitakuwa zinavutia wasomaji.
Tatizo kubwa linalofanya tue tunaona adsense ni pasua kichwa wabongo huwa tunapenda njia za mkato za kutaka kupata mafanikio ya haraka. Google wako makini sana kwa watu wanaovunja mashart na kutumia trick ili kujipatia hela ki wiziwizi kama ukifuata masharti vizuri ya Google adsense nina uhakika utafurahi.
 
nakushauri usitegemee sana google adsense, na hata kuipata ni issue kidogo(ndo maana watu wanauziana humu jf,ukinunua mara nyingi ni matapeli au inafungiwa muda wote).Vile vile adsense hairuhusu kiswahili.Fungua blog yenye tija na inayohitajika na watu
 
Kwa hapa Tanzania Blog haina faida kama hutakuwa na Adsense au Propelar ads Ni kama utakuwa unafanya kazi bure.
Adsense inalipa na zaidi ukiwa unajua kutafuta traffik na kuandika makala nzuri ambazo zitakuwa zinavutia wasomaji.
Tatizo kubwa linalofanya tue tunaona adsense ni pasua kichwa wabongo huwa tunapenda njia za mkato za kutaka kupata mafanikio ya haraka. Google wako makini sana kwa watu wanaovunja mashart na kutumia trick ili kujipatia hela ki wiziwizi kama ukifuata masharti vizuri ya Google adsense nina uhakika utafurahi.
blogger wa kweli hategemei adsense kuendesha blog yake,kama hauna values za kutoa kwa watu lazima uone blogging pasua kichwa

USINUNUE ADSENSE ACC. KWA MTU
 
Mkuu [HASHTAG]#sele255[/HASHTAG] vipi kuhusu domain ya kulipia na free domain ipi inalipa zaidi/iko imara zaidi kibiashara? Hosting je ikoje? Kuna kitu wanaita first a tier countries kwenye adsense payments? Vipi waweza pata wateja wengi kutoka nchi hizo.
 
Domain ya kulipia ndio nzuri,hosting ina tegemeana unataka kuhost(domain + hosting tsh.75000 excluding design fee)adsense wanapenda traffic kutoa usa,canada,europe traffick kwa nchi zetu/africa hazina conversition rate kubwa
 
Naombeni ushauri tofauti na hii Google AdSense nawezaje tengeneza pesa kwa matangazo kma ya Google AdSense kupitia website yangu
 
kwayeyote ambae anajua kufungua account ya adsense yeyote naomba msaada lakini ikiwezekana iwe SEEBAIT au propeller
 
Andika neno "JINSI YA KUFUNGUA akaunt ya adsense"

Katika JF utapata pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom