algorithim
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 878
- 909
kuna funguo maalum za kufungulia..... nunua hizo keys
Kuweni seriouskuna funguo maalum za kufungulia..... nunua hizo keys
Andika neno "JINSI YA KUFUNGUA akaunt ya adsense"
Katika JF utapata pa kuanzia.
Kuweni serious
Ipo hivi adsense kwa unataka hosted au non hosted
Je una blog?
Post zako ni za lugha ya kiingereza?
Blog yako inaumri gani?
Ikiwezekana weka link watu wakupe msada
Mkuu
Why
BANNED
sawa jibabu.. wamekusomaKuweni serious
Ipo hivi adsense kwa unataka hosted au non hosted
Je una blog?
Post zako ni za lugha ya kiingereza?
Blog yako inaumri gani?
Ikiwezekana weka link watu wakupe msada
Mkuu
MBNA hapa jamii forum tnatumia kiswahili lakini matangazo ya adsence yanadisplaynakushauri usitegemee sana google adsense, na hata kuipata ni issue kidogo(ndo maana watu wanauziana humu jf,ukinunua mara nyingi ni matapeli au inafungiwa muda wote).Vile vile adsense hairuhusu kiswahili.Fungua blog yenye tija na inayohitajika na watu
Pamoja na yote lazima uwe na visitors wa kutosha,vile vile haujui humu jamiiforums kuna post kibao za kiingereza?MBNA hapa jamii forum tnatumia kiswahili lakini matangazo ya adsence yanadisplay
Za kiswahili ni nyingi lkn, so iyo yrafic ya lugha ina limit yake ama?Pamoja na yote lazima uwe na visitors wa kutosha,vile vile haujui humu jamiiforums kuna post kibao za kiingereza?
Soma kitabu hiki kikupe muongozo wa kukuwezesha kupata pesa ,sio kuwa na mawazo ya adsenseZa kiswahili ni nyingi lkn, so iyo yrafic ya lugha ina limit yake ama?
Kaka pesa ya adsence nxhaila ndo manaSoma kitabu hiki kikupe muongozo wa kukuwezesha kupata pesa ,sio kuwa na mawazo ya adsense
okKaka pesa ya adsence nxhaila ndo mana
Mimi pia nimtumiaji wa adsense, ila mapato ni madogo,,,jaman mimi n mtumiaji wa adsense; kwenye blog yang napata views zaidi ya 4000 kwa siku, lkn nashangaa mapato nimadogo sana kwasiku chini ya $ 1.5 mwenye uzoefu wa adsense naomba anisaidie
Ni kweli ! Nilikua na shauku sana na blogging lakini hamna pesa rahisi aisee,,, ukitaka kupata nyongeza una omba pop up ads nasikia zinaendana na adsensedaaaah basi kwa bongo halingumu, wana2nyonya sana
mkuu naskia propela wanakulipa vile wanavyojisikia yaan hawana constant CPC n kweli?adsense si chochote si lolote utafungiwa tuu hata ufuate sheria zao, leo zaidi ya blogger sita wamefungiwa account zao ninaowafahamu mmoja ilikua na dollar 1,200$(tarehe ya malipo ni tarehe 21), na utaishi kwa pressure tupu kila ukikaribia kulipwa wanakufungia.. jaribu revenuehits na propeller ....hua tunalaza mpaka dollar 150$ per day.. cheki hapa mpaka reload ya mwisho kesho saa nne zimefika mia.
View attachment 472167