huku kupo safi hapa ni asubuhi zipo 28.176$. mpaka usiku zimefika dollar 200$, hizo adsense hata usipotumia tricks huwezi kutoa zaidi ya dollar 500$ kwa mwezi lazima iwe disabled haswa account mpya.. labda uwe na organic traffic .. wakati kwa revenuehits na propellarads unatoa zaidi ya dollar 3000$ kwa mwezi..ni traffic yako tuu
****NOTE****
Cha muhimu nakupa kongole(hongera) site yako ipo vizuri sana,clear na niche nzuri, endelea kukomaa na unique and original contents na jaribu kukuza organic traffic utafika mbali hata mimi nina site kama hiyo(niche site) but ime-base kwenye I.T.
View attachment 457189