Good old days

Good old days

Leejay49 usije ukajidanganya kusikiliza watu humu..
The very thing inayo kupa stress ndo chanzo cha unene wako.. Ondoa stress na matarajio.. Anza kula kidogo,

kimbia hata 4 to 6 km per day

Kama unayo hela tafuta gym program mahususi kwa ajili ya weight loss

Fasting ni mbaya sana.. Ukiacha kula mwili unakuja kunyonya madini zaidi hata ukila kidogo so unarudi pale pale

Acha kujilaza kwenye couch kwa muda mrefu, Usipende usafiri kama uendapo ni karibu

Inshort usiwe na matarajio. Penda routine yako na uifate bila shuruti
 
Nimeupenda huu usharudi
Asante😍
 
Pole jaribu hii.
Kula mara mbili au hata tu kwa siku
hakikisha chakula cha jioni usizidishe saa 12 jioni.
wanga kula kama kawaida lakini iwe ni kidogo mnoo kwa maana kama ukila ugali basi iwe ngumi na mboga ziwe nyingi zaidi.
pia usile kwa mazoea unaweza kula mfano supu ya kuku na viazi jioni yake ukala samaki na mboga mboga.
wikiend ukifakamia bia na minyama hakikisha jumatatu unakula milo miwili.
hiyo mimi ni ratiba yangu na nina kilo 58 age 40+
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom