Good old days

Good old days

Siri ni chakula.

Umri unavyoongezeka, mwili unahitajika kutoa zaidi ya unavyopokea. Hivyo punguza kiasi cha chakula unachokula.

Siri ipo kwenye amount ya unachokula na aina ya vyakula unavyokula.

Cha mwisho, hakikisha kazi za kuuweka mwili safi hauachi, na pia usiache kutembea ama kukimbia hapa na pale.

Yani kimsingi usikae kinyanya.

Nimeyasema hayo nikiwa mhanga wa uzito mkubwa pia, nimetoka 80Kg now niko 69Kg.

View attachment 3650237
Hongera mkuu,.

Kweli nimeamini kupunguza uzito sio KAZI nyepesi
 
Unaangalia vyakula unavyokula tu
Mchawi ni chakula....kwa % kubwa you are what you eat

Ama unatumia uzazi wa mpango mfano vijiti? Sindano/vidonge
Situmii uzazi WA mpango,
Hapo kwenye mpangilio WA chakula inabidi mnisaidie kiutaalamu zaidi ratiba niiwekeje na vyakula vya Aina gani Nile vipi nisitumie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom