Ilaa
Nimekaa nikakumbuka zamani kidogo,. Kipindi ambacho hata ule kitu gani ( haijalishi ni wanga au protini ) Kilo zangu hazijawahi kuvuka 50,. Yaani zinacheza kwenye 48kg zikizidi sana 52kg🤗🤗
Sikuizi napambana walau nipungue nifike Tu 70kg (ndio imekuwa my dream weight 🥺🥺).. Yaani nacheza kwenye 86, 87 nikizubaa kidogo Tu 90 hii Hapa 😩😩
Kuna kipindi nilijipangia ratiba nzuri Tu nikawa nafanya mazoezi kila siku, baadhi ya vyakula nikaacha na fasting siku2 kila wiki,. Ila ukipima unakuta ndio Kwanza umeongezeka kila Mbili au tatu badala ya kupungua... I gave up
Kuna nguo zangu nilikua navaa zamani saizi naziangalia Tu nabaki kutikisa kichwa kwa huzuni,.
Watu sasa wakianza kukwambia "umenenepaaaa" hata kujipost nowadays naogopa ikibidi sana napost pictures za zamani kwasabu watu lazima wanotice and I can't take it as a compliment 😭😭
🙌🙌🙌