Good old days

Good old days

Kilo 87 apo mbona shega mamie, sifa ya toto la kike liwe na upaja flani hivi na katumbo kwa mbali sio flat kabisa, tukubali tu tunakua Mkuu haswa kama umezaa! ila sasa uzuri uwezo wa kujipunguza nao upo inawezekana discpline tu.. ila sikushauri. We live once, enjoy n love yourself.
Nataka nipungue Tu kwa kawaida,.. yaani kidogo kidogo walau nishuke hadi sabini
 
Mkuu unachopitia ndicho napitia mimi. Nlikuwa nakula tu kilo zangu zilikuwa zikizida saba 59 ila jilikuwa 57/58. Nilikuwa kipindi hicho natamani niongezeke ila now natamani jipungue hadi 72 lakini napo inashindikana.
Lei nimevaa kiofisa kila mtu ananiambia oya tumbo linakuacha hilo. Nikipunguza kula nakonda uso tumbo limegoma
Huu ni mtihani walahi,.
Walau Mimi kidogo tumbo sina ila Tu kale kabody kangu kakitoto hakapo tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom