Good Morning my love...!!!

Maneno mazito sana haya.
Ukiambiwa unaweza kuzimia kwa utamu wa hisia!! lol
acha tu kipipi! ila mwenzio nimetendwa, hivi kipipi mtu unampenda na nahisi analitambua hilo, ila anakwambia kutokana na msg uliyomtumia UMEMBORE utajisikiaje?? ni msg ya kumuelewesha yaloyojiri ila nimeambulia neno UMESHANIBORE, Kipipi imeniuma, nahisi upweke moyoni, natamani chelsea ingekuwa inacheza leo, labda ningeusuuza moyo wangu, wengine wanapewa maneno matamu kama hayo ya YM, wengine tunaambulia karaha moyoni! nipe pole shostito!
 
Jamani wewe........usiseme hivyo.
Punguza huzuni mpendwa wangu, mizani ya mapenzi haiko fair to some extent.

BTW; Pole mwaya, jipeni muda mtaelewana tu taratibu!!
 
Woooow!! Those words are so sweeeet... Mmmh....Ukiambiwa hivi unahisi the Whole World is yours...Kweli mapenzi hayonogi bila ka uongo..!
 
Woooow!! Those words are so sweeeet... Mmmh....Ukiambiwa hivi unahisi the Whole World is yours...Kweli mapenzi hayonogi bila ka uongo..!
about mapenzi thats what they say, but don put it in a way u will b feeling like unadanganywa! just believe,!
 
Haya nenda kamkumbatie huyo mwenzio.....usijemuudhi kwa mara nyingine tena ukaanzisha uzi wa double sorry.....LOL!!!

:hug:
umeonaeeehhh?? atakuwa amesamehewa am sure, ladies huwa tupo soft sana, ukibembelezwa kidogo tena kwa maneno matamu kama haya, lazma usalute! ol the best in your relationship YM, na usirudie tena kumkosea huyo binti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom