Good Morning my love...!!!

Haaaa.....we ulikuwa wapi siku zote hizo???
Pole wee ulipotea na kila kitu kikapotea.........vipi yule shemeji yako hajambo??

Btw; kale kampango sio bana, we jifanye tu kama umekasahau kabisa!!

hakuna hiyo.......kusahau?-??afu atakua bishanga ndo ananiharibia tu huyu...lol, yule shemeji kapona ila yalonikuta we acha tu.....ngoja nikayaweke jukwaa la kule kwenye mambo yetu....
 
hakuna hiyo.......kusahau?-??afu atakua bishanga ndo ananiharibia tu huyu...lol, yule shemeji kapona ila yalonikuta we acha tu.....ngoja nikayaweke jukwaa la kule kwenye mambo yetu....

Sasa kama hutaki kusahau shaurilo........ Bishanga hajaharibu chochote wala usimsingizie!

Haya umepatwa na nini tena??

BTW; ningependa pia kujua situation ya dada yako pia.
 
Last edited by a moderator:
mmmmmhh...shosti??
Himaya huwa ni ya malikia na mfalme tu, hayo mengine ya threesome ni ubatili my dear!!
Fanyafanya umnyakue kikweli kwelii.....
jibu umelipata kuleeeee kwenye 'i have found the love of my life' nimekoleaje sasa??? mwambie tu ticah ahamie airtel, lolest!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom