Kwa mpanda au mpandwa?

Cancer? How mkuu
Habari hizo ni uzushi na upotoshaji wa mtandaoni (fake news) uliosambaa miaka michache iliyopita, ukidai kwa uongo kwamba Waziri wa Afya wa Afrika Kusini alipiga marufuku mtindo huo kwa madai hayo.
Hakuna utafiti wowote wa kisayansi unaohusisha mtindo wowote wa kushiriki tendo la ndoa na ugonjwa wa kansa.
 
Ngoja tuendelee kumwaga moto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…