Gongo la mboto in pictures....

Hivi hili la Gongo la Mboto si namna fulani ya kutusahaulisha na hot issues zinazotuzungusha i.e malipo Dowans, na wazo la kutaka kuwasha mitambo yao haramu? Mnalionaje hili wakuu?
 
Hivi hili la Gongo la Mboto si namna fulani ya kutusahaulisha na hot issues zinazotuzungusha i.e malipo Dowans, na wazo la kutaka kuwasha mitambo yao haramu? Mnalionaje hili wakuu?
Naona bado unakumbuka na wala ujasahau! Ungekuwa umesahau usingebandika bandiko hilo.
 
mkwere kama kawaida yake kuuza sura na kucheka cheka tu huku watu wanakufa

Umenena mkubwa,why tusiige kutoka kwa wenzetu nchi za jirani?:roll:
 
watoto waliopoteana na wazazi wao wakiendelea kuletwa uwanja wa uhuru
 
As usual Mkulu full smile.....Mwamunyange as well...very happy indeed

Hivi unapomwona rais wa nchi anachekelea kwa tukio ka hili tena mbele ya wapiga kura wake unapata picha gani! Kuna cha kucheka hapo? Au hii ndo dawa ya kupanua uwanja wa ndege?
 
makundi ya watu wakielekea uwanja wa uhuru.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…