emmanuelcr7
New Member
- Jul 29, 2015
- 1
- 0
Uji si ulikua umeshawangiwa au hamjijui
Kama mumeo hayupo leo sema makamanda waje wamege kisela unaonesha umepagawa sana
siasa mchezo wa akili sana hauitaji pupa UKAWA ni sawa na samaki alie lushiwa chambo bila kufikilia akakidaka.
tusubiri matokeo.
Sitaki kuamini kwamba tayari UKAWA wamezidiwa kete na CCM, Upinzani hasa katika mgombea urais umekufa kabisa,
watanzania ni lahisi sana kudanganywa nionavyo mwaka huu CCM itakua na wagombea wawili wanaoshindana kuwania kiti kimoja, kivuli cha LOWASSA ndani ya chadema ndio kinachowavuluga watanzania ndio kilicho ficha siri hii kubwa,mwaka huu ni sawa na zile kula za chama kimoja ndio au hapana.
tusitalajie kusikia et mgombea wa UKAWA amegomea matokeo hicho hakipo na mbinu hii ndio itakayotusaidia tupite kwa amani baada ya uchaguzi huu,kwa njia hii CCM watafanikiwa kwa 100% kuzuia wapinzani wasichukue kiti kwani mwenye kauli ya mwisho kukataa au kukubari matokeo ni mgombea mwenyewe.
lowassa ni amelelewa na ccm isichukuliwe rahisi tu kuikana ccm ila kwa sasa lazima ionekane hvyo ili imani iongezeke kwake tusubiri tushuhudie haya ifikapo october! asanteni.
Duh, kaazi kweli kweli...Kiswahili kweli kigumu!siasa mchezo wa akili sana hauitaji pupa UKAWA ni sawa na samaki alie lushiwa chambo bila kufikilia akakidaka.
tusubiri matokeo.
Labda analopigwaga na jamaa yake
Sitaki kuamini kwamba tayari UKAWA wamezidiwa kete na CCM, Upinzani hasa katika mgombea urais umekufa kabisa,
watanzania ni lahisi sana kudanganywa nionavyo mwaka huu CCM itakua na wagombea wawili wanaoshindana kuwania kiti kimoja, kivuli cha LOWASSA ndani ya chadema ndio kinachowavuluga watanzania ndio kilicho ficha siri hii kubwa,mwaka huu ni sawa na zile kula za chama kimoja ndio au hapana.
tusitalajie kusikia et mgombea wa UKAWA amegomea matokeo hicho hakipo na mbinu hii ndio itakayotusaidia tupite kwa amani baada ya uchaguzi huu,kwa njia hii CCM watafanikiwa kwa 100% kuzuia wapinzani wasichukue kiti kwani mwenye kauli ya mwisho kukataa au kukubari matokeo ni mgombea mwenyewe.
lowassa ni amelelewa na ccm isichukuliwe rahisi tu kuikana ccm ila kwa sasa lazima ionekane hvyo ili imani iongezeke kwake tusubiri tushuhudie haya ifikapo october! asanteni.
siasa mchezo wa akili sana hauitaji pupa UKAWA ni sawa na samaki alie lushiwa chambo bila kufikilia akakidaka.
tusubiri matokeo.
hapa hatushindani kwa matusi hoja na fikra ndio msingi wa maendeleo