Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

Mfamaji akosi kutapatapa kwel ccm Mwaka huu mnatafuta majibu ya kwel ata Kwa kuangalizia...tulien muone dawa ya mapenz inavyo waingia
 
siasa mchezo wa akili sana hauitaji pupa UKAWA ni sawa na samaki alie lushiwa chambo bila kufikilia akakidaka.
tusubiri matokeo.

Ukitaka kujua mwisho wenu ndo huu angalia wagombea wenu Wa ubunge na udiwani watakavojitoa kabla ya October 25

Ndio utajua intelligence ya akili kubwa ilivyo
 
Goli la mkono..siri kubwa sana ambayo mabwege hawajaigundua...siasa ni game. Siasa ni sayansi. Siasa ni mkakati...ndo watajua kwa nini Nape aling'ang'ania kusema ktk vyama bora duniani vipo viwili tu....kile cha bara lile na ccm. Kila kitu huwa jinapangwa kabla na kinarekodiwa ili kurejea. Mtego uliowekwa km bahati mbaya umenasa watu wameaminisha kwamba team EL inaongozwa na mstaafu eti ambae naye alikaa ikulu akala kiapo na sasa anakana kiapo chake. Hebu tulizeni akili zenu hivi division ziro anaweza kuona kupitia glass iliyopo mbele yake?
 
Tukutane October 26 matokeo ya ujuma udiwan na 27 ya ubunge kwa ujumla na 30 ya Rais
 
Sitaki kuamini kwamba tayari UKAWA wamezidiwa kete na CCM, Upinzani hasa katika mgombea urais umekufa kabisa,
watanzania ni lahisi sana kudanganywa nionavyo mwaka huu CCM itakua na wagombea wawili wanaoshindana kuwania kiti kimoja, kivuli cha LOWASSA ndani ya chadema ndio kinachowavuluga watanzania ndio kilicho ficha siri hii kubwa,mwaka huu ni sawa na zile kula za chama kimoja ndio au hapana.

tusitalajie kusikia et mgombea wa UKAWA amegomea matokeo hicho hakipo na mbinu hii ndio itakayotusaidia tupite kwa amani baada ya uchaguzi huu,kwa njia hii CCM watafanikiwa kwa 100% kuzuia wapinzani wasichukue kiti kwani mwenye kauli ya mwisho kukataa au kukubari matokeo ni mgombea mwenyewe.

lowassa ni amelelewa na ccm isichukuliwe rahisi tu kuikana ccm ila kwa sasa lazima ionekane hvyo ili imani iongezeke kwake tusubiri tushuhudie haya ifikapo october! asanteni.

Jifunze grama za kiswahil kk
 
May be yes, may be no.. lets wait for 25/10/2015
 
Yani mpaka saiv wafuas wa ccn bado hamuamini kuwa lowSa kahama kiukweli kweli ukawa kwenda kumkubalia wamehakikisha, maana wle wamesoma kila ngaz ipo na wamekamilika wote, wanafanya mambo kwa akili na utelijensia so siamin unachosema, mleta uzi, maana huwez linganisha ccm na ukawa kwa elimu
 
Sitaki kuamini kwamba tayari UKAWA wamezidiwa kete na CCM, Upinzani hasa katika mgombea urais umekufa kabisa,
watanzania ni lahisi sana kudanganywa nionavyo mwaka huu CCM itakua na wagombea wawili wanaoshindana kuwania kiti kimoja, kivuli cha LOWASSA ndani ya chadema ndio kinachowavuluga watanzania ndio kilicho ficha siri hii kubwa,mwaka huu ni sawa na zile kula za chama kimoja ndio au hapana.

tusitalajie kusikia et mgombea wa UKAWA amegomea matokeo hicho hakipo na mbinu hii ndio itakayotusaidia tupite kwa amani baada ya uchaguzi huu,kwa njia hii CCM watafanikiwa kwa 100% kuzuia wapinzani wasichukue kiti kwani mwenye kauli ya mwisho kukataa au kukubari matokeo ni mgombea mwenyewe.

lowassa ni amelelewa na ccm isichukuliwe rahisi tu kuikana ccm ila kwa sasa lazima ionekane hvyo ili imani iongezeke kwake tusubiri tushuhudie haya ifikapo october! asanteni.

Kajifunze kwanza kuandika kiswahili sahihi.
 
Back
Top Bottom