Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

sitaki kuamini kwamba tayari ukawa wamezidiwa kete na ccm, upinzani hasa katika mgombea urais umekufa kabisa,
watanzania ni lahisi sana kudanganywa nionavyo mwaka huu ccm itakua na wagombea wawili wanaoshindana kuwania kiti kimoja, kivuli cha lowassa ndani ya chadema ndio kinachowavuluga watanzania ndio kilicho ficha siri hii kubwa,mwaka huu ni sawa na zile kula za chama kimoja ndio au hapana,
tusitalajie kusikia et mgombea wa ukawa amegomea matokeo hicho hakipo na mbinu hii ndio itakayotusaidia tupite kwa amani baada ya uchaguzi huu,kwa njia hii ccm watafanikiwa kwa 100% kuzuia wapinzani wasichukue kiti kwani mwenye kauli ya mwisho kukataa au kukubari matokeo ni mgombea mwenyewe.
Lowassa ni amelelewa na ccm isichukuliwe rahisi tu kuikana ccm ila kwa sasa lazima ionekane hvyo ili imani iongezeke kwake tusubiri tushuhudie haya ifikapo october! Asanteni.
umelogwa
 
hapa hatushindani kwa matusi hoja na fikra ndio msingi wa maendeleo

Kwahyo we umeona hapo umeleta hoja au ushabiki maandazi??? Wewe kama cyo mzee basi unakaribia kujiunga jahazi modern taarab hvi ndivyo mwalimu wako alikufunza kujenga hoja kwa kuingiza mahaba etii tutashinda???
 
CCM bado chama Imara. Na bado ndicho chama Bora. Hivi kati ya aliye lala na mgonjwa hospital na aliye kuja na uji asubuhi nani ana ijua hali ya mgonjwa? CCM wanajua matatizo ya WaTanzania In and Out since 1961 ndio maana tuka wapa kwanza Uhuru na mengine mengi kiutaratibu hadi leo hii. Vyama pinzani wana aminisha waTanzania kuwa mambo yana weza kwenda kwa haraka kitu ambacho ni uongo na uzandiki. NCCR ili leta uji 1995 lakini mgonjwa bado akalala na CCM. CUF waka leta uji 2005 lakini bado mgonjwa aka baki kulala na CCM na hata CHADEMA ilipo leta uji 2010 na kumwambia mgonjwa vitu vingi vita kuwa bure siasa za kizamani bado CCM aka baki. Wapinzani wana hitaji more time wasikasirike hata sisi tume tokea huko enzi za Ukoloni.
 
lowasa huwa ni bingwa wa maagizo,hapa ukawa imetekwa kiulaini sana.
uchaguzi wa mwaka huu,hakuna fujo
 
Tulia,kwani unaogea nje,Kwanza Ongea kiswahili fasaha alafu mada yako tu!
Sijui ubadilishe nini maana yote ni piss and shit!
 
CCM bado chama Imara. Na bado ndicho chama Bora. Hivi kati ya aliye lala na mgonjwa hospital na aliye kuja na uji asubuhi nani ana ijua hali ya mgonjwa? CCM wanajua matatizo ya WaTanzania In and Out since 1961 ndio maana tuka wapa kwanza Uhuru na mengine mengi kiutaratibu hadi leo hii. Vyama pinzani wana aminisha waTanzania kuwa mambo yana weza kwenda kwa haraka kitu ambacho ni uongo na uzandiki. NCCR ili leta uji 1995 lakini mgonjwa bado akalala na CCM. CUF waka leta uji 2005 lakini bado mgonjwa aka baki kulala na CCM na hata CHADEMA ilipo leta uji 2010 na kumwambia mgonjwa vitu vingi vita kuwa bure siasa za kizamani bado CCM aka baki. Wapinzani wana hitaji more time wasikasirike hata sisi tume tokea huko enzi za Ukoloni.

Sitaki kuamini kama uko sawa,naomba niwe na mchango katika kukuweka sawa.0759841685 Ntakusaidia.
 
Sisi huku tunakunywa lager na huyu anakunywa chimpumu na komoni ndo maana akili yake iko hivyo.
 
Nilipomwona Lowasa jana anapiga Pipoooooos pawa! Niliona kuwa hakuna kisichowezekana. CCM, kama mwenyekiti wenu alivyowahi kuwashauri, jiandaeni kisaikolojia. Hakuna cha goli la mkono bali ni kufunga virago na kuondoka tu!!
 
siasa mchezo wa akili sana hauitaji pupa UKAWA ni sawa na samaki alie lushiwa chambo bila kufikilia akakidaka.
tusubiri matokeo.

kauli yako si ya kuitilia maanan na si yakuipuzia.
Najua wale wenye nyege za pupa watakutukana sana
 
CCM mnajidanganya sana siku hizi.
Ukawa wazee wa counter attacks, mtajuta kuwajua.
 
hapa hatushindani kwa matusi hoja na fikra ndio msingi wa maendeleo
How can we take you seriously if you cannot write properly? Unapoanza kuandika sentensi hutakiwi kuanza na herufi ndogo, unaanza na herufi kubwa.
 
CCM bado chama Imara. Na bado ndicho chama Bora. Hivi kati ya aliye lala na mgonjwa hospital na aliye kuja na uji asubuhi nani ana ijua hali ya mgonjwa? CCM wanajua matatizo ya WaTanzania In and Out since 1961 ndio maana tuka wapa kwanza Uhuru na mengine mengi kiutaratibu hadi leo hii. Vyama pinzani wana aminisha waTanzania kuwa mambo yana weza kwenda kwa haraka kitu ambacho ni uongo na uzandiki. NCCR ili leta uji 1995 lakini mgonjwa bado akalala na CCM. CUF waka leta uji 2005 lakini bado mgonjwa aka baki kulala na CCM na hata CHADEMA ilipo leta uji 2010 na kumwambia mgonjwa vitu vingi vita kuwa bure siasa za kizamani bado CCM aka baki. Wapinzani wana hitaji more time wasikasirike hata sisi tume tokea huko enzi za Ukoloni.

CCM Ni chama cha majambazi
 
Back
Top Bottom