Sangu Jr
Member
- Jun 6, 2015
- 14
- 7
Sitaki kuamini kwamba tayari UKAWA wamezidiwa kete na CCM, Upinzani hasa katika mgombea urais umekufa kabisa,
watanzania ni lahisi sana kudanganywa nionavyo mwaka huu CCM itakua na wagombea wawili wanaoshindana kuwania kiti kimoja, kivuli cha LOWASSA ndani ya chadema ndio kinachowavuluga watanzania ndio kilicho ficha siri hii kubwa,mwaka huu ni sawa na zile kula za chama kimoja ndio au hapana.
tusitalajie kusikia et mgombea wa UKAWA amegomea matokeo hicho hakipo na mbinu hii ndio itakayotusaidia tupite kwa amani baada ya uchaguzi huu,kwa njia hii CCM watafanikiwa kwa 100% kuzuia wapinzani wasichukue kiti kwani mwenye kauli ya mwisho kukataa au kukubari matokeo ni mgombea mwenyewe.
lowassa ni amelelewa na ccm isichukuliwe rahisi tu kuikana ccm ila kwa sasa lazima ionekane hvyo ili imani iongezeke kwake tusubiri tushuhudie haya ifikapo october! asanteni.