Gold Poop Pills

Gold Poop Pills

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
You can buy "Gold Poop Pills" for $200
When consumed, they will turn your poop sparkly,golden and smell good
Hizi pills zikifika Bongo itakuwa safi
zinafanya kinyesi chako kiwe na rangi ya dhahabu, chenye kung'aa

na chenye harufu ya kuvutia
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    26.4 KB · Views: 99
  • image.jpg
    image.jpg
    22 KB · Views: 125
Mkuu.@Boflo watakao nunuwa ni matajiri sio masikini bora zingelikuwa ni za rangi ya fedha kuliko hiyo rangi ya dhahabu zitakuwa ni ghali sana hata zikifika bongo unasemaje?
 
Mkuu.@Boflo watakao nunuwa ni matajiri sio masikini bora zingelikuwa ni za rangi ya fedha kuliko hiyo rangi ya dhahabu zitakuwa ni ghali sana hata zikifika bongo unasemaje?
Sure Bongo sijui kama zitapata soko sana, Wajapani ndio waanzilishi
wa hizi dawa, na wazungu wamezipenda sana, watapata soko kubwa
Ulaya cause kuna walaji wa tigo wengi,watakuwa wanachezea kinyesi na kujipakaza mwilini
 
Hakuna dawa hizo hapa japan uzushi! Labda sehemu nyingine.
 
Jaribu kuwa mstaarabu sio vyema kutumia lugha za kihuni! Sina sababu ya kutumia lugha chafu Kama wewe japokuwa naweza, it's seems you believe everything you read! That's sad, I do live here and am telling you there's no such a thing, it's up to you to believe or not.
 
Kikishakuwa kinanukia au cha dhahabu ili iweje.....arent' going to flush?
 
Mimi nilifikiri kinabadilisha kabisa ile taka inakuwa dhahabu orijino. Yaani kwa sonara foleni zingekuwa ndefu kuliko za kwenye benki za NMB!
 
Back
Top Bottom