Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

Going Bongo

Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
25
Reaction score
10
attachment.php




Going Bongo ni movie ya kwanza ya kimataifa iliyotengenezwa na Watanzania na kuwashirikisha
Wamarekani, Wakenya na nchi nyingine mbalimbali kama Italy, UK, Serbia, Malawi, South Africa na nyinginezo.

Inahusu daktari wa kimarekani ambaye anakuja kimakosa kufanya kazi katika hospital ya Dar-es-Salaam, Tanzania

DVD ya Movie hii inapatikana hapa: http://bit.ly/goingbongoDVD au

Unaweza kuidownload iTunes http://bit.ly/goingbongoitunes

Follow on facebook hapa: https://www.facebook.com/GoingBongo
 

Attachments

  • going-bongo.png
    going-bongo.png
    130.2 KB · Views: 36,895
Last edited by a moderator:
imetengenezwa na kampuni gani?
imewahi kuoneshwa theater? wapi?
 
The Boss, ni kampuni mpya ambazo tumeziansha kutengeneza movie za Tanzania na Afrika kwa ujumla. Rogue Tanzania na Busy Bee Production.

Tunajaribu kuboresha viwango vya movie zetu ili zikae kimataifa kidogo.

Taratibu taratibu lakini tutafika, Inshallah
 
Last edited by a moderator:
this seems exciting... i can't wait to actually download it..
product ya kwanza nyumbani.. yani mmarekani na watanzania... awesome
 
Mngejitahidi kuboresha waigizaji kwanza. Tatizo la waigizaji wetu halina tofauti sana na la wanahabari wetu. Hizo zimekuwa fields za failures. Ukiangalia waigizaji wa marekani, na hata wakenya pia; wenzenu wameenda shule. Hata kama umesoma shule isiyo ya uigizaji inakuweka akili sawa. Nyie uigizaji ni factor ya weupe na hips. Scripts pia haziko original kivile.

kila la kheri, mie nilishagoma kuangalia both nigerian and bongo movies, naona zinanidumaza tu akili
 
kama inaikaribia ubora ile muvi ya wakenya NAIROBI HALF LIFE.. nihakikishie nikainunue!!
 
Amewawekea link ya you tube mwanzoni kabisa, kwanini usibofye pale na uione trailer yake?
 
guys i've just watched the trailer on youtube.quality wise,shot techinique,sound and camera movement is awesome.halafu huyu main character ( sijui ndio huyu Going Bongo ?) wa hii movie sio mgeni sana machoni nahisi aliwahi kuwa tv presenter wa EATV miaka ya nyuma.i bet it could be above nairobi half life.my kudos to the techinical team behind it.cant wait.
 
Last edited by a moderator:
The Boss, ni kampuni mpya ambazo tumeziansha kutengeneza movie za Tanzania na Afrika kwa ujumla. Rogue Tanzania na Busy Bee Production.

Tunajaribu kuboresha viwango vya movie zetu ili zikae kimataifa kidogo.

Taratibu taratibu lakini tutafika, Inshallah

nakuaminia kaka.nitakutafuta siku moja nikupe "maadia".hongera sana.
 
Last edited by a moderator:
iTunes ni $9.99 kwa sababu in ya kudownload. $15 ni kununua physical DVD itumwe nyumbani. Kwa hiyo kama una iPad, ni rahisi tu kununua iTunes. Lakini kuna watu wameomba DVD kwa ajili ya kumbukumbu
 
Back
Top Bottom