Gods' Morning Glory

Gods' Morning Glory

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,920
Reaction score
15,166
attachment.php
Wakuu, I am an amateur photographer, lakini kati ya picha nilizowahi kupiga nakumtukuza Mungu ni hii hapa.
Nipe maoni, na baadaye nitasema ni mahali gani nchini.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    36.7 KB · Views: 798
attachment.php
Wakuu, I am an amateur photographer, lakini kati ya picha nilizowahi kupiga nakumtukuza Mungu ni hii hapa.
Nipe maoni, na baadaye nitasema ni mahali gani nchini.

Hukuamikia kiporo cha ugali....... Hongera kwa hii snapshot
Ni wapi imepigwa hii picha? masopakyindi
 
Last edited by a moderator:
Hukuamikia kiporo cha ugali....... Hongera kwa hii snapshot
Ni wapi imepigwa hii picha? masopakyindi
Ha ha ha!
We Mwashokaz !!
Hii picha nimeipiga juu ya vilima baada ya Igawa , karibu na mpaka wa Mbeya/Iringa.
Nikisafiri toka Tukuyu Mbeya,kwa mazoea huwa naamka alfajiri ya saa 11.
Kwa hiyo jua linapochomoza mida ya saa 11.30 au saa 12 sehemu hizo baada ya Igawa, unapata a breathtaking view ya sunrise!!
Na kwa kweli unamshukuru Mungu.
 
Nzuri sana mkuu masopakyindi
Nakumbuka sana Igawa huko wakati napita pita kwenda shule aise
Na Tukuyu mitaa ya Ndembela kule na kiwanda cha chai pale Tukuyu dah mmebarikiwa sana wakuu huko
 
Last edited by a moderator:
wow...............awesome photo...
 
Back
Top Bottom