Godbless Lema: Zile mbwembwe za TRA kutangaza mapato zimeishia wapi?

Zile mbwembwe za TRA za kutangaza mapato zimeishia wapi ?tunajua hali mliyofikia.Kama siasa chafu na sera mbaya za uchumi hazita koma,Tanzania itarajie kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko Zimbabwe,tena mapema sana,mliwakamua ng'ombe bila kuwalisha na sasa mnakamua damu.ZIMBABWE

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
Ukweli ni kwamba mapato ya awamu hii siyo siri tena kama anavodai bwana Lema

Pia mapato hutangazwa kila baada ya miez mi tatu

Afu awe anatembelea hata tovuti ya TRA kila kitu kipo wazi pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Opposition kazi yao ni kuikosoa serikali au kuirekebisha na kutoa ushauri?

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Zile mbwembwe za TRA za kutangaza mapato zimeishia wapi ?tunajua hali mliyofikia.Kama siasa chafu na sera mbaya za uchumi hazita koma,Tanzania itarajie kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko Zimbabwe,tena mapema sana,mliwakamua ng'ombe bila kuwalisha na sasa mnakamua damu.ZIMBABWE

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
Hili ndio kauli mbadala kuisaidia chadema kukamata dola,ama kweli mmekata tamaa,nilitegema mtaanza pigania tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote,matukio hayatawpa dola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kumlinganisha mh Lema na yule mzee wa ...yesssiii piipoooz yuziiidi tu daiii iiize reeekiii

In God we trust
Sio rahisi kumlinganisha mkuu. CV ya Lema siijui ila ya jiwe BSc, MSc, PhD halafu ni mtaalam wa kemia na mahesabu. Kiingereza alisomea Prof Kabudi.
 
Zile mbwembwe za TRA za kutangaza mapato zimeishia wapi ?tunajua hali mliyofikia.Kama siasa chafu na sera mbaya za uchumi hazita koma,Tanzania itarajie kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko Zimbabwe,tena mapema sana,mliwakamua ng'ombe bila kuwalisha na sasa mnakamua damu.ZIMBABWE

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
hii minyumbu mingine haina hata shukurani kwa maana TRA walipokuwa wanatangaza walisema kwamba mahesabu si ya kweli na serikali inajipendekeza kwa wanchi ,sasa wameacha kutangaza ,imeashaanza kulalama na kuongea kuongea kwamba wanataka serikali itangaze mapato hayo, watendaji serikaarini pigeni kazi msiwasikilize manyumbu haya.
 
siasa mbadala
 
Aibu yenu hiyo mbwembwe zote kwiisha kabisa badala ya trillion sasa mpo na bilion dadeek
hii minyumbu mingine haina hata shukurani kwa maana TRA walipokuwa wanatangaza walisema kwamba mahesabu si ya kweli na serikali inajipendekeza kwa wanchi ,sasa wameacha kutangaza ,imeashaanza kulalama na kuongea kuongea kwamba wanataka serikali itangaze mapato hayo, watendaji serikaarini pigeni kazi msiwasikilize manyumbu haya.

In God we trust
 
Yeye anashukuru mungu anapofungua na kufunga mlango tu kama mtoto mdogo maana ni Kula kwa baba kulala kwa baba
Sometimes huwa hunaga akili maisha yako unapambana nayo kivipi bila serikali au tra kuweka mambo sawa

In God we trust
 
Back
Top Bottom