Godbless Lema: Zile mbwembwe za TRA kutangaza mapato zimeishia wapi?

Ipi hiyo mkuu ?ebu twambie sisi wazareeendo

In God we trust
Tunajenga miradi mikubwa yote kwa pesa ya ndani, mabarabara, maji, umeme, na madege, mameli, mahospitali, mengine waweza taja wewe
 
Watatangaza nini wakati hali ya uchumi mbaya .......muungwana akivuliwa nguo hasimami uchutama

Mzee baba akubali tu kuna mahala amefeli afanye marekebisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliongea na mtu wake karibu juzi, akaniambia kuwa Mzee a ajua kuwa ameboronga lakini kurekebisha imekuwa taabu. Na sasa anategemea msaada wa RA kuwapa imani wawekezaji na wale waliohamisha mitaji. Amekiri wazi kuwa alifanya makosa kuwachukia matajiri.

Kwa sasa kila kitu hakiendi.
 
Kawadanganye walio nje ya nchi
Tunajenga miradi mikubwa yote kwa pesa ya ndani, mabarabara, maji, umeme, na madege, mameli, mahospitali, mengine waweza taja wewe

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Niliongea na mtu wake karibu juzi, akaniambia kuwa Mzee a ajua kuwa ameboronga lakini kurekebisha imekuwa taabu. Na sasa anategemea msaada wa RA kuwapa imani wawekezaji na wale waliohamisha mitaji. Amekiri wazi kuwa alifanya makosa kuwachukia matajiri.

Kwa sasa kila kitu hakiendi.
Apambane na hali yake ...alijua kuongoza nchi sawa na kuongoza nyumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile mbwembwe za TRA za kutangaza mapato zimeishia wapi ?tunajua hali mliyofikia.Kama siasa chafu na sera mbaya za uchumi hazita koma,Tanzania itarajie kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko Zimbabwe,tena mapema sana,mliwakamua ng'ombe bila kuwalisha na sasa mnakamua damu.ZIMBABWE

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
Mtanyooka tu. Hapa kazi tu.
 
asikudanganye mtu, ridhiki yako inategemea mafanikio ya mtu mwingine. kama ambavyo watu wengine wanavyonufaika na kipato chako.
serikali ipo kusimamia nyenzo kama usalama wa wetu na mali, na nk
TRA ikiyumba unafikiri hautahusika?
Hahaha, lema bana, Sir tunawaza kupamabana na maisha yetu yeye anakesha anawaza TRA tu na serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakulima wa korosho pia na wasafirishaji wa korosho hadi leo hawajalipwa
Hakuna siri tena hali ni mbaya sana watu na makampuni yanayoidai serikali yana hali mbaya kwani hailipi madeni mwaka wa pili sasa

In God we trust
 
Huyo ni chumia tumbo tu kwake kila issue ni kusifia tu
asikudanganye mtu, ridhiki yako inategemea mafanikio ya mtu mwingine. kama ambavyo watu wengine wanavyonufaika na kipato chako.
serikali ipo kusimamia nyenzo kama usalama wa wetu na mali, na nk
TRA ikiyumba unafikiri hautahusika?

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Unaweza kumlinganisha mh Lema na yule mzee wa ...yesssiii piipoooz yuziiidi tu daiii iiize reeekiii
Lema ataweza kweli kuelewa hesabu hizo?
Itabidi mmawia amsaidie amchoree na graph kabisa.

In God we trust
 
Back
Top Bottom