Godbless Lema: Zile mbwembwe za TRA kutangaza mapato zimeishia wapi?

Hahaha, lema bana, Sir tunawaza kupamabana na maisha yetu yeye anakesha anawaza TRA tu na serikali
akili zako kama za yule kiongozi anayewakataza wanafunzi wa vyuo kutojihusisha na siasa wawapo vyuoni. aliyasema pale SUA bila kujua kuwa kuna watu kina bashiru ally wanafundisha hiyo siasa .. alitaka wakafanyie practicle mazabahuni sijui?
 
Lema anamaisha safi hawez kulingana na wew ila anauliza zile mbwembwe za tra zimeishia wap hilo ndo swali kama wew unahusika na tra mjibu lakin kama huusiki funga domo waje tra wenyewe kujibu.
Kwani Lema pia anauliza TRA kwenye mitandao ya kijamii hajui ofisi za TRA zilipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asubiri watu watoke msibani kuzika kwanza
Zile mbwembwe za TRA za kutangaza mapato zimeishia wapi ?tunajua hali mliyofikia.Kama siasa chafu na sera mbaya za uchumi hazita koma,Tanzania itarajie kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko Zimbabwe,tena mapema sana,mliwakamua ng'ombe bila kuwalisha na sasa mnakamua damu.ZIMBABWE

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
 
1552142912945.png
 
Safi sana
Lema anamaisha safi hawez kulingana na wew ila anauliza zile mbwembwe za tra zimeishia wap hilo ndo swali kama wew unahusika na tra mjibu lakin kama huusiki funga domo waje tra wenyewe kujibu.

In God we trust
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom