Godbless Lema: Zile mbwembwe za TRA kutangaza mapato zimeishia wapi?

Zile mbwembwe za TRA za kutangaza mapato zimeishia wapi ?tunajua hali mliyofikia.Kama siasa chafu na sera mbaya za uchumi hazita koma,Tanzania itarajie kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko Zimbabwe,tena mapema sana,mliwakamua ng'ombe bila kuwalisha na sasa mnakamua damu.ZIMBABWE

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
We are the children's
 
Kamuulize lema kama kodi haikusanywi au inakuaanywa, na wao ndo wanaipangia matumizi
Hapa tunaongelea zile mbwembwe mlizokuwa mnafanya kila mwezi kututangazia mapato mbona siku hizi kimya?zimeyeyushwa na kitu gani?

In God we trust
 
Hapa tunaongelea zile mbwembwe mlizokuwa mnafanya kila mwezi kututangazia mapato mbona siku hizi kimya?zimeyeyushwa na kitu gani?

In God we trust
Tuna aim makubwa zaidi, hizi mbwembwe tushaacha, tuko full mode time hii
 
Tunatembea kifua mbele mbona Sasa TRA Ya Nini au yeye ndoo amekamuliwa!sisi hakuna tulipoguswa na serikali hii kwasababu siyowajawajanja aliyeguswa ni wale wazee wa mkato waliofanya biashara kiujanja Sasa yeye aendelee kuwafuatilia TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, lema bana, Sir tunawaza kupamabana na maisha yetu yeye anakesha anawaza TRA tu na serikali
Lema anamaisha safi hawez kulingana na wew ila anauliza zile mbwembwe za tra zimeishia wap hilo ndo swali kama wew unahusika na tra mjibu lakin kama huusiki funga domo waje tra wenyewe kujibu.
 
Back
Top Bottom