Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Wasalaam ndugu TRA
Mimi kama mtanzania mlipa kodi nina haki ya kujua mapato na matumizi yanayokusanywa na serikali kupitia TRA
Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano chini ya ndugu Magufuli nyie TRA mlikua mkitutangazia kwa mbwembwe zote mlivyokusanya mapato kwa mwezi na kuvuka lengo
Ikafikia hatua mkatuaminisha kwamba utawala wa awamu ya 4 ulikua legelege kwa kukusanya kodi ya bilioni 900 kwa mwezi na utawala wa 5 ukakusanya zaidi ya trilioni 1.
Lakini kadri siku zilivyozidi kwenda utaratibu wa kutangaza ukapungua na kwa sasa nahisi umekufa kabisa
Nina miezi kadhaa mingi tu sijaskia wala kuona sio kwenye TV,magazeti au social medias nyingine zile mbwembwe zenu za kutangaza mapato
TRA sasa hivi mmeamua kukusanya kodi kinguvu matokeo yake mmeishia kufunga maduka mengi sana ,msitegemee kama hizo trilioni mtazipata tena.
Utawala huu kila kitu kinafeli na utazidi kufeli kwa sababu ya kiburi cha mtu mmoja,huwezi kutaka watu waishi maisha ya enzi za ujima/ujamaa wakati wapo enzi za soko huria,uzalendo sio kuturudisha nyuma kimaendeleo Bali kutusongesha mbele kimaendeleo