Godbless Lema: Zile mbwembwe za TRA kutangaza mapato zimeishia wapi?

Wakiona maziwa hayatoki wakate ziwa lenyewe tu

In God we trust
Duh, na kuku wasipotaga mayai wawachinje? Kuwakimbiza na kuwanyanyasa Manji, Africafe na MO ni sawa na kukata ziwa lenyewe. Kifuatacho Tz............ Kilangila.
 
Pumzi zimeshakata.Wengine tuliona mapema tu kua zile mbwembwe zilikua sawa na kuitingisha cocacola alafu uifungue.
 
Zile mbwembwe za TRA za kutangaza mapato zimeishia wapi ?tunajua hali mliyofikia.Kama siasa chafu na sera mbaya za uchumi hazita koma,Tanzania itarajie kuwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko Zimbabwe,tena mapema sana,mliwakamua ng'ombe bila kuwalisha na sasa mnakamua damu.ZIMBABWE

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
wia in ze raiti traki bhana
 
Itakuwa umesahau yeye ni mbunge.na ni upinzani mshahara na maposho anapata kuikosoa na kusimamia.wakusifia na kuunga juhudi wapo wengi.hapo ameshaingiza fedha.endelea kuangaika kama huku kwenye korosho leo tubasibiri jipya DC.
Hahaha, lema bana, Sir tunawaza kupamabana na maisha yetu yeye anakesha anawaza TRA tu na serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom