Godbless Lema na Sugu waingia Mafichoni!

Godbless Lema na Sugu waingia Mafichoni!

Kamanda hujamuelewa mleta uzi. Swala sio kuwa hawapo, bali wameleta mafanikio gani ya kimaendeleo katika majimbo yao zaidi ya maandamano?

Nyie kuna maendeleo gani yaloletwa na Wabunge wenu?
 
Najiuliza siasa za hawa wabunge zimeishia wapi ambapo mmojawao alishafikishwa katika vyombo vya usalama kwa kumtolea raisi maneno ya kichochezi na mwingine alifikishwa kwa kumtolea waziri mkuu maneno ya kichochezi wakati wa mijadala bungeni.

Ukimya huu bila shaka unaonyesha walikamilisha kazi walizotumwa na chama chao na sasa wameingia msituni kujipanga.

Ama kweli debe tupu haliachi kuvuma! Sijui wanajipanga na uwongo gani kwa sasa hao watumwa wa chama walioingia mafichoni. Hii inadhihirisha ni jinsi gani wananchi wanafanya makosa katika chaguzi. Kwa tasfsiri makini ni kwamba Jimbo La Arusha Mjini lipo wazi tangu 2010 maana mbunge hakuna alichokifanya cha maendeleo kwa jimbo lake. Wananchi tusirudie makosa. Kuna mshirika mmoja wa G. Lema ameachana na siasa ameaanza kulaghai kwa kivuli cha Uchungaji. Tuwe makini na watu wenye njaa kali.

we lazima utakua ni mgonjwa wa fistula....
 
sugu mbeya tumemchoka kabisa.. tunasubiri uchaguzi mwakani tumtimue
 
wajinga nyie kazi yenu ni kufutialia mambo yasiyo yasiyowahusu kama unataka kuolewa na Lema au Sugu umeshachelewa wote wana wake zao labda uende kwa wassira au kwa nape
 
Mungu kasaidia kipindi ambacho Matapeli wako Bungeni Sugu kajikita kwenye nchi yake kafanya mambo ambayo magamba sahauni kuhusu Sugu...
 
Mungu kasaidia kipindi ambacho Matapeli wako Bungeni Sugu kajikita kwenye nchi yake kafanya mambo ambayo magamba sahauni kuhusu Sugu...

sugu anasuguliwa wapi jamani?
 
wajinga nyie kazi yenu ni kufutialia mambo yasiyo yasiyowahusu kama unataka kuolewa na Lema au Sugu umeshachelewa wote wana wake zao labda uende kwa wassira au kwa nape

mfate halima mdee, msagaji mwenzako!
 
Back
Top Bottom