Mkuu nimeipenda hiyo lakn ilikuaje had mahakama kutafsili hivyo?.
baada ya kayanza kuruhusu polisiccm kupiga wananchi Mh;Sugu kwenye ukarasa wake wa fb akaandika maneno ya kayanza ya kipumbavu;polisiccm wakamfungulia kesi;ila ahakama akifafanua upumbavu c tusi.