Godbless Lema na Sugu waingia Mafichoni!

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Najiuliza siasa za hawa wabunge zimeishia wapi ambapo mmojawao alishafikishwa katika vyombo vya usalama kwa kumtolea raisi maneno ya kichochezi na mwingine alifikishwa kwa kumtolea waziri mkuu maneno ya kichochezi wakati wa mijadala bungeni.

Ukimya huu bila shaka unaonyesha walikamilisha kazi walizotumwa na chama chao na sasa wameingia msituni kujipanga.

Ama kweli debe tupu haliachi kuvuma! Sijui wanajipanga na uwongo gani kwa sasa hao watumwa wa chama walioingia mafichoni. Hii inadhihirisha ni jinsi gani wananchi wanafanya makosa katika chaguzi. Kwa tasfsiri makini ni kwamba Jimbo La Arusha Mjini lipo wazi tangu 2010 maana mbunge hakuna alichokifanya cha maendeleo kwa jimbo lake. Wananchi tusirudie makosa. Kuna mshirika mmoja wa G. Lema ameachana na siasa ameaanza kulaghai kwa kivuli cha Uchungaji. Tuwe makini na watu wenye njaa kali.
 
Wewe mnafiki mkubwa wote wapo subirini mwakani wawatoe pangoni sasa
 
Sugu ameandamwa sana na ombwe la kumuacha mazazi mwenzake, atakuwa anaona aibu
 
Wewe mnafiki mkubwa wote wapo subirini mwakani wawatoe pangoni sasa
Wee si umesema ni mwana CCM sasa watawatoa akina nani pangoni? Umeongopa kwenye mada yako umekmatiwa huku, kweli njia ya muongo fupi
 
Najiuliza siasa za hawa wabunge zimeishia wapi ambapo mmojawao alishafikishwa katika vyombo vya usalama kwa kumtolea raisi maneno ya kichochezi na mwingine alifikishwa kwa kumtolea waziri mkuu maneno ya kichochezi wakati wa mijadala bungeni.

Ukimya huu bila shaka unaonyesha walikamilisha kazi walizotumwa na chama chao na sasa wameingia msituni kujipanga.

Ama kweli debe tupu haliachi kuvuma! Sijui wanajipanga na uwongo gani kwa sasa hao watumwa wa chama walioingia mafichoni. Hii inadhihirisha ni jinsi gani wananchi wanafanya makosa katika chaguzi. Kwa tasfsiri makini ni kwamba Jimbo La Arusha Mjini lipo wazi tangu 2010 maana mbunge hakuna alichokifanya cha maendeleo kwa jimbo lake. Wananchi tusirudie makosa. Kuna mshirika mmoja wa G. Lema ameachana na siasa ameaanza kulaghai kwa kivuli cha Uchungaji. Tuwe makini na watu wenye njaa kali.
Watakuwa wanaandaa tindikali, uchaguzi unakaribia
 
Wako mapango ya Amboni Tanga wanavuta bange.
 
Mbunge wako kafanya nini kwenu, Huyu wa jimboni kwangu ni kiazi kabisa kwani hata kutikisika mkono ili tujue kama yupo hatikisi,
 
Najiuliza siasa za hawa wabunge zimeishia wapi ambapo mmojawao alishafikishwa katika vyombo vya usalama kwa kumtolea raisi maneno ya kichochezi na mwingine alifikishwa kwa kumtolea waziri mkuu maneno ya kichochezi wakati wa mijadala bungeni.

Ukimya huu bila shaka unaonyesha walikamilisha kazi walizotumwa na chama chao na sasa wameingia msituni kujipanga.

Ama kweli debe tupu haliachi kuvuma! Sijui wanajipanga na uwongo gani kwa sasa hao watumwa wa chama walioingia mafichoni. Hii inadhihirisha ni jinsi gani wananchi wanafanya makosa katika chaguzi. Kwa tasfsiri makini ni kwamba Jimbo La Arusha Mjini lipo wazi tangu 2010 maana mbunge hakuna alichokifanya cha maendeleo kwa jimbo lake. Wananchi tusirudie makosa. Kuna mshirika mmoja wa G. Lema ameachana na siasa ameaanza kulaghai kwa kivuli cha Uchungaji. Tuwe makini na watu wenye njaa kali.

DOGO UKUBWA WA LEMA PALE ARACHUGA HAKUNA ASIYEUFAHAMU , MAFISADI WOTE wakimuONA TU WANADEBWEDEKA ! SUGU NI RAIS WA MBEYA , KWA UFAFANUZI ZAIDI MUULIZE KANDORO .
 
umeshasema PALE arusha, so tuache tuliopo arusha twamjua hajafanya lolote la maendeleo labda la maendeleo kwake ni kuuza ambulance ya wagonjwa.
 
Wee si umesema ni mwana CCM sasa watawatoa akina nani pangoni? Umeongopa kwenye mada yako umekmatiwa huku, kweli njia ya muongo fupi
nasema nipo huku ccm kimwili kiakili nipo Chadema chama makini sana na imara mno kuliko wakati wowote. Nimekutana na sugu juzi akanipa ratiba ya slaa hivyo namngoja kwa hamu nimwage mbivu na..... Malizia kondoo wewe
 
umeshasema PALE arusha, so tuache tuliopo arusha twamjua hajafanya lolote la maendeleo labda la maendeleo kwake ni kuuza ambulance ya wagonjwa.
upo arusha wewe? Lema engine kubwa itawatumbua Lumumba ninyi.
 
Back
Top Bottom