kwingine wamewezaje?
amnaa lolote hao wapo hotelinNajiuliza siasa za hawa wabunge zimeishia wapi ambapo mmojawao alishafikishwa katika vyombo vya usalama kwa kumtolea raisi maneno ya kichochezi na mwingine alifikishwa kwa kumtolea waziri mkuu maneno ya kichochezi wakati wa mijadala bungeni.
Ukimya huu bila shaka unaonyesha walikamilisha kazi walizotumwa na chama chao na sasa wameingia msituni kujipanga.
Ama kweli debe tupu haliachi kuvuma! Sijui wanajipanga na uwongo gani kwa sasa hao watumwa wa chama walioingia mafichoni. Hii inadhihirisha ni jinsi gani wananchi wanafanya makosa katika chaguzi. Kwa tasfsiri makini ni kwamba Jimbo La Arusha Mjini lipo wazi tangu 2010 maana mbunge hakuna alichokifanya cha maendeleo kwa jimbo lake. Wananchi tusirudie makosa. Kuna mshirika mmoja wa G. Lema ameachana na siasa ameaanza kulaghai kwa kivuli cha Uchungaji. Tuwe makini na watu wenye njaa kali.
Mahakama ya Wilaya ya Dodoma ilishatafsiri kuwa waziri MKUU ni Mpumbavu! tusi liko wapi hapoNajiuliza siasa za hawa wabunge zimeishia wapi ambapo mmojawao alishafikishwa katika vyombo vya usalama kwa kumtolea raisi maneno ya kichochezi na mwingine alifikishwa kwa kumtolea waziri mkuu maneno ya kichochezi wakati wa mijadala bungeni.
Ukimya huu bila shaka unaonyesha walikamilisha kazi walizotumwa na chama chao na sasa wameingia msituni kujipanga.
Ama kweli debe tupu haliachi kuvuma! Sijui wanajipanga na uwongo gani kwa sasa hao watumwa wa chama walioingia mafichoni. Hii inadhihirisha ni jinsi gani wananchi wanafanya makosa katika chaguzi. Kwa tasfsiri makini ni kwamba Jimbo La Arusha Mjini lipo wazi tangu 2010 maana mbunge hakuna alichokifanya cha maendeleo kwa jimbo lake. Wananchi tusirudie makosa. Kuna mshirika mmoja wa G. Lema ameachana na siasa ameaanza kulaghai kwa kivuli cha Uchungaji. Tuwe makini na watu wenye njaa kali.
Wewe mnafiki mkubwa wote wapo subirini mwakani wawatoe pangoni sasa
kwingine wamewezaje?
kweli wewe ni mtamu kuliko ice cream!
sirluta Leo tunakukata posho tangu asubuhi umepost mada 1tu wakati mbinu tulishawapa za kutunga jambo.bidii yako ndo posho yako nzuri
wewe na jina lako la kike na kabila lile kule kuliko na mwasisi wa maandamano ila hakuna maandamano mara yako ya mwisho kuja arusha ni lini?
Mahakama ya Wilaya ya Dodoma ilishatafsiri kuwa waziri MKUU ni Mpumbavu! tusi liko wapi hapo
Sugu akiacha kupuliza atakuwa kijana mwema sana.
Mkuu unaushahidi Mh;Sugu atapata sigara ukakamavu?
Utabiri umesomea wapi? Mm ni muhitimu wa shahada pale mlimani mwaka wa mtatiro.... Nkarudi tena kupiga MA nkawakuta akina mtela mwampamba wao wakiwa duce... Nkyakuwashia nn mkuu? Wikiend sio siku ya kuchat jf wewe kama mwanafunzi ukipata div 0 usije hapa kulalamikia serikali