Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
walifanya pamoja biashara tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze

Je Kuna uhusiano gani kati ya JK na Shekh Yahaya Hussein
watu wanaomjua JK wanasema ailikua rafiki mkubwa wa
Shekh Yahaya Hussein
walifanya pamoja unajimu tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze

JeyKey.

Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.
Siri ya kaburi anaijuwa maiti, kwa maelezo haya yote uliyatoa hapa napata jibu moja tu kwamba ndege wafanano huruka pamoja, kama haya uliyoyaeleza ni kweli basi na wewe ni miongoni mwao. labda tu ungetuambia jina lako ni lipi katika hayo majina uliyoyaorodhesha?

Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi..................

Mkuuu maelezo yako japo hatuwezi kujua kama ni kweli yana kitu cha muhimu kuzingatia ndio maana nimekugongea like

By default

Mkuu wangu akina Chonjo wameshahi kufungwa records zipo fuatilia.Umesahau Falme Chonjo alikuwemo kwenye lile sakata la ujambazi Njiro[Sunami] na raia wa Kenya.

tatizo unapenda sifa man ngongo,sasa hzo kesi za miaka ya 80 zilikwenda kwenda vipi au mahakama iliztupilia mbali tupe news mkubwa inaonekana upo deep.na lema vipi ajawai fikishwa mahakamani hata kwa kumsuspect kaiba gari.

Siri ya kaburi anaijuwa maiti, kwa maelezo haya yote uliyatoa hapa napata jibu moja tu kwamba ndege wafanano huruka pamoja, kama haya uliyoyaeleza ni kweli basi na wewe ni miongoni mwao. labda tu ungetuambia jina lako ni lipi katika hayo majina uliyoyaorodhesha?
Hahahaha! Thanx Matola. You made my day mkuu!..lol

Je Kuna uhusiano gani kati ya JK na Shekh Yahaya Hussein
watu wanaomjua JK wanasema ailikua rafiki mkubwa wa
Shekh Yahaya Hussein
walifanya pamoja unajimu tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze
Mimi naomba mwenye Data za urafiki wa JK na Mattaka anijurishe maana naambiwa ni Marafiki hawa. na kuna watu walishaziwekaga sifa za Mattaka hapa jamvini.
mwenye data naomba anijuze pls.

By default

Mkuu wangu akina Chonjo wameshahi kufungwa records zipo fuatilia.Umesahau Falme Chonjo alikuwemo kwenye lile sakata la ujambazi Njiro[Sunami] na raia wa Kenya.
Aisee una data nyingi mpaka raha. Unaonaje ukamtafuta Zombe mchanganye hizi data zenu labda mtafanikisha azma yenu kwa mh. Lema!

Mimi naomba mwenye Data za urafiki wa JK na Mattaka anijurishe maana naambiwa ni Marafiki hawa. na kuna watu walishaziwekaga sifa za Mattaka hapa jamvini.
mwenye data naomba anijuze pls.
Ngongo anazo hizi data. Subiri kidogo amalize kutupa hizi za lema manake hana kazi ya kufanya atatuwekea na hizi za jk na mataka.

Heshima kwako Matola,

Mkuu wangu asilimia 90 wameshatangulia mbele ya haki.Aliyebaki ni mbunge unayemshabikia labda nitakuwa Lema.Bwaha ha ha ha.

Siri ya kaburi anaijuwa maiti, kwa maelezo haya yote uliyatoa hapa napata jibu moja tu kwamba ndege wafanano huruka pamoja, kama haya uliyoyaeleza ni kweli basi na wewe ni miongoni mwao. labda tu ungetuambia jina lako ni lipi katika hayo majina uliyoyaorodhesha?

Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe

watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe

walifanya pamoja biashara tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze

A. Massawe alikuwa mshirika wa kibiashara na Sitti Mwinyi. Na baazi ya mali walizovuna wakati wa utawala wa Mwinyi Zipo Dubai ambako Massawe anaishi kwa sasa. Na ukimwona tanzania ni kwamba kaja kwa mda tu.

JeyKey.

Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.

Hizi ni story za wala mirungi wa pale ngarenaro, andasi ikiwapanda mnatafutiza vijistory vya kukazia andasi yenu, muwe mnakunywa masheri yanakazia andasi vizuri kuliko hizi story za kutafutiza.

Tupeni data jamani. Nakumbuka usemi wa zamani 'Rafiki wa Nyoka ni .......................'

Aisee lisemwalo lipo!
Kumbe chama cha huyu mheshimiwa ni chama cha Majambazi?
Mwanzoni nilidhani ni chama cha wazinzi tu, kumbe na majambazi wamo pia!

he mbona mnamshupalia mtoa mada lema ni jambazi wa kitambo na dili zake alizifanyia arusha,moshi na taveta hamuoni sura yk ya kijambazi

Heshima kwako Matola,

Mkuu wangu asilimia 90 wameshatangulia mbele ya haki.Aliyebaki ni mbunge unayemshabikia labda nitakuwa Lema.Bwaha ha ha ha.

Thankx mkuu, niliwasikia waswahili wakisema "ukipenda chongo huita kengeza"

Mtu wenu akiguswa mapovu yanawatoka.
Sisi na wewe anayetokwa povu ni nani? Umekazana kubonyeza keybod kwa mambo yasiyo na kichwa wala miguu! Umeombwa data wewe? Afu unatuwekea hapa tuzifanyie nini? Unasumbuliwa na UMBEA + WIVU= Sifa za kijinga. Fanya kazi kijana maisha ya watu hayatakuondolea ziki ulizonazo.

Mmoja ni jambazi? Mmmh! Sasa mbna hakamatwi na ujambazi wake anaundesha vp ilhali anajulikana hv?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom