Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
Nachukia sana wana jf wanaopenda kutetea wana CDM kwa kutumia makosa ya wana CCM (and dont get me wrong sijasema kwamba Lema nijambazi). mleta mada ameuliza kama Lema amewahi kujihusisha na vitendo vya kijambazi kama ndio amewahi let us not justify matendo maovu ya CDM members kwa vile wana CCM nao wanafanya.
Tutawatambuaje kama wao pia sio wavaa magamba, tuache habari ya mbona JK alitoa ahadi, mbona JK ni rafiki wa fulani. CDM wako kuonyesha mapungufu ya viongozi walioko madarakani sio kuwaiga na kama mwana CDM ameharibu basi aambiwe ajirekebishe na kama hana mipango ya kando kiutendaji watu wasitafute majungu nakuharibu majina ya watu.