Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
Mimibaba.

Mkuu wangu siku zote napenda mabadiliko yaongozwe na watu sahihi na hili napishana na manazi wengi wa CDM wewe ukiwemo.Ukisoma bandiko langu bila kengeza la kichama kuna sehemu nimesema wazi "Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda umeshapita sana".Ni nani asiyejua jeshi la polisi limeoza kwa rushwa akina Zombe wanawajua majambazi lakini utashanga wengi wako uraiani ukijiuliza sababu ni nini utakuta rushwa inachukua nafasi yake.

Usimamizi wa ustawi wa uchumi unapaswa kusimamiwa na watu wasafi,wenye uwezo,wenye kujua matatizo ya watanzania,waadilifu na nk.Naomba kukuuliza wewe utapenda kuwakilishwa na wanasiasa aiana ya Chenge,Rostam au Mkapa.Bila shaka jibu litakuwa hapana.Ikiwa jibu ni hapana kwanini udhaifu wa Lema unaupalilia,unauremba kwa misamiati kedekede eg zamani,yana tija gani na nk?.

Yana Tija gani kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa taifa letu?
 
Jamani mimi mbona sijibiwi? nimeuliza na mimi naomba kujulishwa ukaribu wa JK na Mattaka, maana sifa za Mattaka zinaeleweka.
 
Mimibaba.

Mkuu wangu siku zote napenda mabadiliko yaongozwe na watu sahihi na hili napishana na manazi wengi wa CDM wewe ukiwemo.Ukisoma bandiko langu bila kengeza la kichama kuna sehemu nimesema wazi "Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda umeshapita sana".Ni nani asiyejua jeshi la polisi limeoza kwa rushwa akina Zombe wanawajua majambazi lakini utashanga wengi wako uraiani ukijiuliza sababu ni nini utakuta rushwa inachukua nafasi yake.

Usimamizi wa ustawi wa uchumi unapaswa kusimamiwa na watu wasafi,wenye uwezo,wenye kujua matatizo ya watanzania,waadilifu na nk.Naomba kukuuliza wewe utapenda kuwakilishwa na wanasiasa aiana ya Chenge,Rostam au Mkapa.Bila shaka jibu litakuwa hapana.Ikiwa jibu ni hapana kwanini udhaifu wa Lema unaupalilia,unauremba kwa misamiati kedekede eg zamani,yana tija gani na nk?.
Hehehehe! Watu wasafi?? Labda tukupe nchi wewe manake unaonekana u msafi kabisa!..
 
Hivi humundani ya jf kama mtu huna hoja yakuleta siukalale wewe uliyeleta hii hoja umetumwa nanani au kwanza anyemfatilia lema kwa mabaya ashindwe kwanza inaonekana umetumwa na batilda
 
Tuangalie LEMA wa sasa sio hizo historia uchwara.mbona KAKOBE alikuwa DJ leo hii ASKOFU MKUU

----------------------------------------------------------------
Mnh!...DJ KAKOBE natamani ningemuona enzi hizo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom