Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
walifanya pamoja biashara tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze
Mie sijui ila kiujumla sioni ubaya wa wao kuwa na uhusiano, wote ni wachaga yawezekana koo zao zinahusiana, wote walikuwa wafanyabiashara yawezekana walifanya biashara pamoja.
Mahusiano na kila mtu na kila kitu yanawezekana, inategemea unayatumiaje. Ikiwa binadamu anatoa kinyesi ambacho hukiona ni uchafu na kukitafutia shimo mahususi ili asikione, ni huyohuyo binadamu hukipa jina zuri ili kiwe muafaka kwa matumizi, eti Mbolea, hatimaye hukitumia bila kuhoji.
Kwa hiyo rafiki, jambazi hajakatazwa kuungana na watu wengine kwenye maisha ya kijamii, si mara zote mahusiano yetu yanakuwa hayana mpaka. UPOZ

he mbona mnamshupalia mtoa mada lema ni jambazi wa kitambo na dili zake alizifanyia arusha,moshi na taveta hamuoni sura yk ya kijambazi
Karipoti kwenye mamlaka zinazohusika achukuliwe hatua..

Aisee lisemwalo lipo!
Kumbe chama cha huyu mheshimiwa ni chama cha Majambazi?
Mwanzoni nilidhani ni chama cha wazinzi tu, kumbe na majambazi wamo pia!

hivi uliwahi kudondoka bafuni ...?

he mbona mnamshupalia mtoa mada lema ni jambazi wa kitambo na dili zake alizifanyia arusha,moshi na taveta hamuoni sura yk ya kijambazi
Hahahahah,
Ukiiangalia sura yake huwezi bisha!!!

Hizi ni story za wala mirungi wa pale ngarenaro, andasi ikiwapanda mnatafutiza vijistory vya kukazia andasi yenu, muwe mnakunywa masheri yanakazia andasi vizuri kuliko hizi story za kutafutiza.

He kumbe umeshakazia handasi mkuu! kama bado tupe data zako na wewe.

Mmoja ni jambazi? Mmmh! Sasa mbna hakamatwi na ujambazi wake anaundesha vp ilhali anajulikana hv?

Kama ni kweli may be hii nchi yetu basi ujambazi ni career inayokubalika mradi ufuate vigezo. Maana ukiangali EPA, BAE na ha huyo wa CDM anayesema mhh.

Tujilize ni vigezo gani hivyo unatakiwa kuwa navyo ili uwe jamabazi na bado usiweze kushatakiwa

hivi mtu akiwa chadema anakuwa malaika?watu mapovu yanawatoka lema kushutumiwa!ma man ngogo toa data!

Mtu wenu akiguswa mapovu yanawatoka.

hahahah maneno ya wakosaji ! Bway bway bway ngongo gamba liligoma kutoka

Aisee lisemwalo lipo!
Kumbe chama cha huyu mheshimiwa ni chama cha Majambazi?
Mwanzoni nilidhani ni chama cha wazinzi tu, kumbe na majambazi wamo pia!
Ni kweli kabisa mkuu unachosema, maana hata Rajabu Maranda anaetumikia kifungo jela kwa kesi ya wizi ni Katbu wa uchumi na fedha wa CHADEMA.

Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
walifanya pamoja biashara tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze

Upuuzi toka kwa wapuuzi dawa yake ni kupuuzwa. Mchango wangu huu ni taarifa ya kukupuuza

JF inavituko kweli kweli utakuta mtu anajadili ufisadi wa EPA au Meremeta kwa kutumia ubongo mtu huyo huyo akiguswa mtu wa CDM anaweka akili pembeni kabisa anaamua kutumia makalio kujibu hoja.

JeyKey.

Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.

Yana Tija gani kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa taifa letu?

Mbona wewe haujaripoti wezi wa EPA,Meremeta,Deep Green na Kagoda ?.Anza wewe utuonyeshe uzalendo wako.
Kwani unachofanya wewe hapa ni kuripoti au kuandika umbea? Mi sina data za hao wezi wa EPA. Niwekee hapa kama unazo nikawaripoti. Kama wewe ni mzalendo wa kweli na unayajua yote hayo kuhusu Lema umeshachukua hatua gani mpaka sasa hivi? Unafikiri kuandika humu jf itawasaidia nini watz?

[h=2]
icon1.png
Godbless lema na Alex MAssawe: Uhusiano kibashara[/h] Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
walifanya pamoja biashara tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze

kumbe jibu unalo ndugu yangu. Hapakuwa na haja ya kulileta hili suala huku.

Hivi unajua maana ya family.Vipi Arusha umekuja lini ?.Famila ya akiana Chonjo ilihusushwa na wizi wa magari kuanzia miaka 80s gari lolote likiibiwa Arusha,Moshi na Nairobi wakwanza kukamatwa na Chonjo family and their close friends.Siku hizi Chonjo wameachana kabisa na wizi wa magari lakini sifa zao bado zipo.

Mimi nadhani wewe ndio huji maana ya family, pili katika maelezo yako ya kwanza umetaja hao wezi wa hapo arusha ila sikuona umemtaja Lema nae kama mwizi which means me nikimfahamu mwizi nami ni mwizi au? sijakuelewa hapo nadhani uanataka kulazimisha kwakuwa hizi familia zajuana basi wote hizo familia ni wezi, Huku kwetu mwanza kulikuwa na mwizi alimaarufu Nyamuhanga in 80's alikuwa anatishai jeshi zima la police mwanza enzi izo David Maji alikuwa mkuu wa police,Jambazi Sugu Nyamuhanga alikuwa ni mkuyra sasa unataka kutuambia ukoo wao wakina nyamuhanga na wakina chacha wote walikuwa ni majambazi?

JF inavituko kweli kweli utakuta mtu anajadili ufisadi wa EPA au Meremeta kwa kutumia ubongo mtu huyo huyo akiguswa mtu wa CDM anaweka akili pembeni kabisa anaamua kutumia makalio kujibu hoja.
Kama ambavyo wewe umejitahidi sana kutumia makalio yako kutuletea mambo yaliyopitwa na wakati. Hongera sana na uendelee kutumia makalio yako hivyo hivyo.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom