Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

harambee za chadema ndo mwajua kuifutilia? Kinachowauma nn km sio unafiki na ushambenga rasilimali za nchi zinavuja kila kona hamsemi, kuchafua LEMA mfefulia labda mgeukie SHIBUDA atachafuka kirahisi. Masalia kajipangani na unafki mwingine
Hata kiwanja cha hospitali ni rasilimali ya nchi.
 
Nimezisoma hizo nyarakafeki, sijaona ukashfa wala chembe ya kuiua chadema! Mods: kumekuwa na taswira flani ya uachaji wa mijadala ya kizushi inayotupotezea mda na kushusha hadhi ya jukwaa hili! Uzushi kama huu haina haja ya kuuacha watu waendelee kuangalia!
Hivi unaposema au unapoandika kuwa " Nimezisoma hizo nyarakafeki " Embu tuambie basi ufeki wake upo wapi? Nyaraka feki zina tabia zipi?Au unataka kutuambia kuwa majina ya hao watu si ya wakazi wa Arusha? Na kama si wakazi/wanachama wa CDM , ieleze jamii kuwa wanatoka sehemu fulani ambapo si Arusha. kama utashindwa kutujulisha ufeki unatoka wapi, basi utakuwa huna hoja. Au unataka kuwaambia Watanzania kuwa wewe ndie uliepewa jukumu la kuthibitisha vitu kuwa ni halali au si halali. LAKINI pia nakubaliana na wewe jambo hilo haliwezi kuiua Chadema, kwasababu sio "Fact " ni " opinon " USHAURI: WAKATI MWINGINE NI VYEMA UKAWA KIMYA.
 
Mkuu hili nilisema sana kipindi kileeeee unajua tena wanazi wa CDM walivyo na mahaba na chama chao viongozi wao hawakosei,hawatakiwi kukosolewa wana sifa za malaika.

Na tazama sasa nilivyosakamwa kosa langu liko wapi? au kuleta barua hii hapa kwa ajili ya mjadala? it is not fair at all.
 
Mimi sina uwezo wa kuthibitisha nyaraka kama ni halali au si halali ndio maana nimeleta kwa great thinkers kwa ajili ya uchambuzi.Nashangaa majibu ya barua hii mengine ni matusi
 
Naomba unukuu kelele hata moja uliyopigia CCM.

Acha kumsakama huyo jamaa. Tunajadili chama ambacho watanzania wanaambiwa kwamba kikishika madaraka, maisha yatabadilika na utakuwa mwisho wa ufisadi. Katibu dhaifu tungoje atafanya nini. Kama barua hiyo hajaipata, chukueni mumpelekee halafu mlete majibu baada ya kufanya uchunguzi wa kina.

'CDM ina intelligensia kali sana ikiongozwa na bin watch eight!
 
walioandika shutuma hizi ni wastaarabu sana kwa sababu walichoomba ni uchunguzi. Ingawa ni wazi kuwa CHADEMA makao makuu hawatafanya kitu, lakini makamanda wameteleza wajibu wao.
Hata ile helkopta aliyopiga nayo picha Uingereza na kusema imenunuliwa kwa pesa za M4C zilizochangwa dar es salaam mpaka sasa haijafika kwa walengwa!

helikopta ili anguka njiani kabla ya kufika tanzania!
 
hivi kumtuhumu LEMA ni DHAMBI?

na wasiwasi na elimu yako, hili jukwaa ni dhahiri imevamiva na vijidudu. Hivi km ndo ww unatuhumiwa kwa barua feki kisicho na mhuri utakubali kutiwa hatian? Ila kawaida CCM kuwatumia kama chip labour.
 
CCm wanajaribu kutumia mbinu ileile CDM waliyoitumia kuwa waangamiza, very pity! Ushauri wa bure kwa wale wanaoshabikia ccm humu JF.

1. Its too late for these unqualified propaganda against cdm.

2. Acheni madesa kama vile mpo shule, jifunzeni kufikiria. Kama kuna kitu kinachofanya binadamu mmoja kuwa bora kuliko mwingine basi ni uwezo wa kufikiria. But, so far you have failured.

3. Tuhuma zenu hazina mwelekeo wala grounds. Nyinyi ni wezi mnafahamika. Sasa tangu lini mwizi akaenda polisi kumshitaki mwizi.........Sijue akili hizi mnazitoa kwa mwenyekiti wenu?

4.Tuhuma zenu are so cheap and very poorly structured kiasi kwamba hataanaye tuhumiwa hawezi kupatatabu ya namna ya kuwajibu.
 
Mkuu, document hiyo imetoka kwenu Arusha na kusainiwa majina hayo umeyaona na imetumwa hadi makao makuu ya chadema. Mimi sijaongeza neno kwa nini unanishambulia mimi binafsi? badala ya kujibu yatokanayo na hiyo Document?

KWani huyo LEMA amehama nchi????

Kama matatizo ya Trekta, pesa na viwanja kwa nini msiende mkamuuliza mwenyewe???

Au tuambieni tujue mlipomwambia FACE kwa FACE aliwajibu nini????


Sioni mantiki ya JF kuijadili barua ambayo ni mwaka 2012. Na ilipelekwa kwa KAMATI KUU YA CDM.


Au mmetumwa kuileta hapa JF.

Mbona watu wa Arusha mmekuwa wanafiki??? Au mlifikiri mkiamdika utumbo kama huo ndio kesi iliyopo mahakamani CCM wangelishinda. MUNGU AMEWALAAANI........

Je, Arusha sio nyie ambao mlifunga barabara toka KIA hadi Arusha mjini kwa ajili ya kumpokea na kusababisha shughuli zetu za biashara kusimama kwa muda mrefu, au matatizo yenu yaliisha na mmepata hilo Trekta, Pesa pamoja na viwanja mnavyodai???



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hata kiwanja cha hospitali ni rasilimali ya nchi.

kwa hiyo kaihamisha nyumbani kwake? Ndo maana nasema masalia mnatumika chip labour wala hamjitambui, mbuge ni political figure hana mamlaka ya kujitengea ardhi, kamshitakini afisa ardhi wa manispa na kamati yake. Toka lini mbuge anauza ardhi ya serikali? Hayo tunayaona kwa watumishi wa umma kama wakuu wa wilaya na wakurugenzi wakijiuzia mali ya umma.
 
Kwa nini pro chadema msi discuss issue yenyewe badala yake mnaporomosha matusi halafu mod mancheka tu kwenu rahaaa
 
Wewe MAMA POROJO huruma yako kwa chadema imeanza lini?

Naona sasa umeamia kwa lema baada ya kushindwa kwa halima mdee!

Tunahitaji upinzani wa kweli nitaumia chadema ikienda kaburini. Vyama vingi ni kwa mujibu wa katiba ya nchi na vinachochea maendeleo.
 
Last edited by a moderator:
Naibu katibu mkuu je?
Naibu katibu mkuu wa hicho chama kazi yake ni nini au kuandika makala?

Tatizo chama kinaongozwa na mwenyekiti dhaifu na katibu dhaiifu unategemea nini? Wanachama nao dhaifu, hawaoni kitu hapo kwenye hizo documents.
 
kwa hiyo kaihamisha nyumbani kwake? Ndo maana nasema masalia mnatumika chip labour wala hamjitambui, mbuge ni political figure hana mamlaka ya kujitengea ardhi, kamshitakini afisa ardhi wa manispa na kamati yake. Toka lini mbuge anauza ardhi ya serikali? Hayo tunayaona kwa umma kama wakuu wa wilaya na wakurugenzi wakijiuzia mali ya umma.
Kajifunze kwanza kiswahili mbuge ndio nini? soma barua kampa mkewe ambae wewe ni wifi yako.
 
Haina nguvu kwa kuwa ni mkasikazini angekuwa mnyamwezi ungesikia vimbwanga
 
Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.[/QUOTE

kwa kuongeza mkuu,
Baada ya kusoma hizi taarifa nilishtuka kidogo, Kisha nikapiga simu Arusha kujua ukweli wa jambo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa wilaya ambaye asingeweza kunificha Jambo. Yeye mwenyewe akaanza kunishangaa mimi. Hakuna kiongozi mwenye malalamiko dhidi ya LEMA, wanamwona kama shujaa wao. JF wangetendea haki kwa kufuta thread hii. Haina viwango vya kuwekwa hapa. Kweli JF siku hizi tumeingiliwa.
 
Back
Top Bottom