Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Mivutano ya nini? Kinachotakiwa ni Slaa atuthibitishie kama alipokea barua ya namna hiyo au lah. Hilo tu linatosha.
Tusifanye kazi ya utabiri, wakati wahusika wapo humuhumu.
Hayo yaliyoandikwa yote yameshawahi kusemwa hapa kwa nyakati tofauti, sasa imeletwa barua yenyewe. Je, Slaa hii barua ilipita kwako kama ilivyoandikwa hapo juu?
We mamho ya CDM yanakuhusu nini? Si uwaache wenyewe jamani?
 
Mods, ziweke wazi hiyo document naona naandamwa mimi au mwanaJf yeyote aziweke wazi kwani zina ushahidi wa ninachosema dalili hizo ni mbaya kwa chadema Arusha.
wewew hata useme vipi,sisi wana chadema hatuwezi kukuelewa,maana tunachotaka ni kuwaondoa magamba madarakani kama una oja yeyote ile subiri baada ya 2015
 
Kama ni dalili mbaya yaani kati wanachama millioni kadhaa wewe ndiye umeguswa kuliko wengine? Hebu kaa mbele ya kioo ujiangalie sura yako kama inakusuta.

Unaharibu mada ni bora ukasaidia kujibu kashfa hizo dhidi ya Lema.

Kutafutana fedha ya Umma wa wanachadema ni kashfa ambayo inatakiwa kujibiwa vema ili kumjenga Lema.

Je Huu ni ufisadi aina mpya unaokubalika ndani ya CHADEMA?
 
Uzushu!!!!!!

Umeona majina ya walioandika na kusaini document hiyo. Tuambie walipeleka malalamiko chadema makao makuu kwa sababu ipi?

Kumtetea Lema kwa sababu ananga'a na kufumbia madhambi yake ni kuipeleka chadema kaburini

Nimezisoma hata mimi pia..ni za kutengenezwa zenye lengo chafu...hazina ukweli wowote..chadema haiwezi kuambatana na wanafiki kama wewe MAMA POROJO _kama unaona CHADEMA Itaingia kaburini sababu ya hizo nyaraka iacha iingie wala hatutahitaji machozi yenu nyie wanafiq.
 
Last edited by a moderator:
CCM ikishikwa pabaya ni halali

CHADEMA ikishikwa pabaya ni haramu

Kwa mwendo huu tutafika salama????????
Anyway, issue ya mtu mmoja pale Lumumba kukaa na kuandika hii kitu yenye font tofauti tofauti ni jambo la kawaida.
Walishaandika nyingine tena, wanaandika, wana-scan na kurusha kwenye mitandao ya kijamii.
Mtu kama wewe ukipita pita zako huko unaiokota unaileta hapa huku ukiwa hujui ilikotokea.

Nani anaweza kuthibitisha kwamba huu waraka ni barua ya watajwa na ilitumwa na KUFIKA makao makuu.

Very simple, kama wewe ni kiongozi, unasema Lema alileta Pikipiki, then unasema hujui ilipo, sasa tumuulize nani zaidi yako wewe unayejiita Kamanda? Yani mletewe pikipiki halafu ipotee, halafu mumuulize Lema.

Wendawazimu mwingine.

Issue ya Shamba Burka ilishakuja hapa na barua yake kama hii ya kipuuzi,
Isue ya michango ya Wafiwa ilishakuja hapa kwa barua za kizembe kama hizi na ikatolewa ufafanuzi sawia.

Hizi siasa sa CCM za hovyohovyo tu. Ukitaka heshima shurti Ufanye yenye kuleta Heshima......:A S 100:
 
Unaharibu mada ni bora ukasaidia kujibu kashfa hizo dhidi ya Lema.

Kutafutana fedha ya Umma wa wanachadema ni kashfa ambayo inatakiwa kujibiwa vema ili kumjenga Lema.

Je Huu ni ufisadi aina mpya unaokubalika ndani ya CHADEMA?
Sasa kama wameandika barua Kamati Kuu kwa nini unataka aje kujibu huku?

Mbona Mulugo hajajibu chochote juu ya kughushi jina, mbona hujasema chochote?
Mbona hujaongelea namna gani ambavyo CCM ilifaidika na fedha za EPA kupitia Kagoda?

Ushauri kwako: ukitaka watu wakusikilize uwe unachangia issues kutokana na maslahi yake kwa taifa. Kama uko hapa kwa propaganda kwa CCM, kuna watu ambao tulikuwa CCM na ndugu zetu wameharibiwa maisha na CCM na hatuwezi kuikubali CCM pamoja na majitaka yako.
 
Usafi wa wafuasi wa chama chochote una nafasi yake ili kupata viongozi bora wanaoweza kuunda serikali bora 2015. ndio kelele yetu dhidi ya CCM.
nitakuelewa kama utaniambia jinsi ya kuitoa ccm madarakani,mambo mengine ya kujenga,sijui kuimarisha chama,Lema kuuwa chadema,na takataka zingine ni baada ya kuiangusha ccm
 
Hizi tuhuma ni hisia za wanaarusha. Ni vyema zifanyiwe kazi kwa manufaa ya wana arusha na watanzania kwa ujumla
 
Ukifuatilia mjadala huu utagundua vijana wengi wanaoishabikia chadema sio wapinga ufisadi ila wanataka wapate nafasi ya kufisadi. Hakuna kijana hata mmoja wa chadema anayeona kuwa kilichofanywa na Lema ni tatizo!!!
Kwa namna hii mwananchi wa kawaida asitegemee maendeleo toka kwa wanasiasa.
 
Tunahitaji upinzani wa kweli nitaumia chadema ikienda kaburini. Vyama vingi ni kwa mujibu wa katiba ya nchi na vinachochea maendeleo.
sema usemavyo,tunachotaka kusikia ni namna gani tutavyowatoa ccm madarakani,maana kama nyoka ameingia nyumbani kwako ni kujua kwanza utamtoa vipi,mengine yote ni baadae
 
Mi nitachangia baada ya kusoma hizo barua. Kwani natumia kasimu hakana mautundu mengi kusoma doc na pdf.Hivyo siwezi sema kitu mpaka hapa. Tunaomba mtu atuwekee tuingie kwenye mjadala kwani tunachelewa.
 
Kama katafuna ela nawe katafune ya magamba,sasa ivi laini ipo busy hizi tuhuma lete decemba 2015 sawa we mama ee
sawa kamanda,sisi sera yetu kwa sasa ni kuakikisha ccm tunawatoa madarakani,masuala mengine tutaongea baada ya kuwatoa magamba
 
Mimi kama mkazi wa Arusha na mpenda mabadiliko ya kweli, tuhuma zilizotolewa juu ya Lema ni nzito sana na zimewakilishwa makao makuu ya Chadema. kwanza Lema anatakiwa ajitafakari na kuona kama zinaukweli wowote, na kama zinaukweli basi hana budi kujirekebisha kwa maslahi ya chama, ya wananchi na wapenzi wa Chadema Arusha.

Pili Chadema tusilewe sifa tukajisahau kwamba siku zote tutaendelea kukaa juu, pale mtu anapokosea sisi kama wadau tunatakiwa tumrekebishe (kama Mwenyekiti Taifa- Mhe Mbowe anakubali kurekebishwa kwanini Lema akatae!).

Mtoa mada ameleta barua iliyotumwa makao makuu kama ilivyo ila inashangaza wadau tunaanza kumshambulia kama yeye ndio mwandishi wa hiyo barua. Tulitakiwa tuchambue yaliyoandikwa kama yana ukweli wowote ndio tutoe hoja, kubisha bila misingi inaashiria hatujakomaa kifikra.

kama Great Thinkers lazima tujiulize hicho kiwanja kimeandikishwa kwa jina gani? Je Trekta lipo na nani alishasaidiwa kulima? ambulance ipo wapi na nani ameshawahi kuiona? ArDF imeshapokea kiasi gani cha fedha na watoto wangapi wameshasaidiwa?

Tulianza na Mungu,tutamaliza na Mungu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.
 
Ukifuatilia mjadala huu utagundua vijana wengi wanaoishabikia chadema sio wapinga ufisadi ila wanataka wapate nafasi ya kufisadi. Hakuna kijana hata mmoja wa chadema anayeona kuwa kilichofanywa na Lema ni tatizo!!!
Kwa namna hii mwananchi wa kawaida asitegemee maendeleo toka kwa wanasiasa.

Hivi haya yalitokea kabla au baada ya haya hapa?

makamanda mbalimbali wakijiandaa na maandalizi!!

more pics to come....!

attachment.php

jembe letu limerudi jembe letu limerudi!!sio maneno yangu haya jamani....

attachment.php

hapa ni Tengeru.....

attachment.php

hapo chini msafara umeingia katikati ya jiji...kama alivyotuletea Crashwise

View attachment 76341

View attachment 76343

hapa kamanda lema akisindikizwa kuelekea mapumzikoni!!
 
Anyway, issue ya mtu mmoja pale Lumumba kukaa na kuandika hii kitu yenye font tofauti tofauti ni jambo la kawaida.
Walishaandika nyingine tena, wanaandika, wana-scan na kurusha kwenye mitandao ya kijamii.
Mtu kama wewe ukipita pita zako huko unaiokota unaileta hapa huku ukiwa hujui ilikotokea.

Nani anaweza kuthibitisha kwamba huu waraka ni barua ya watajwa na ilitumwa na KUFIKA makao makuu.

Very simple, kama wewe ni kiongozi, unasema Lema alileta Pikipiki, then unasema hujui ilipo, sasa tumuulize nani zaidi yako wewe unayejiita Kamanda? Yani mletewe pikipiki halafu ipotee, halafu mumuulize Lema.

Wendawazimu mwingine.

Issue ya Shamba Burka ilishakuja hapa na barua yake kama hii ya kipuuzi,
Isue ya michango ya Wafiwa ilishakuja hapa kwa barua za kizembe kama hizi na ikatolewa ufafanuzi sawia.

Hizi siasa sa CCM za hovyohovyo tu. Ukitaka heshima shurti Ufanye yenye kuleta Heshima......:A S 100:

MKUU, Lumumba unawasingizia mbona Document ina majina ya walioandika na kusaini imekaaje hii?
 
Ukifuatilia mjadala huu utagundua vijana wengi wanaoishabikia chadema sio wapinga ufisadi ila wanataka wapate nafasi ya kufisadi. Hakuna kijana hata mmoja wa chadema anayeona kuwa kilichofanywa na Lema ni tatizo!!!
Kwa namna hii mwananchi wa kawaida asitegemee maendeleo toka kwa wanasiasa.
hayo sisi tumeshaachana nayo,mjadala uliopo mbele yetu, ni mmoja tu, kuwaondoa ccm madarakani, kama tumeamua kujitolea maisha yetu,hata wakila pesa kiasi gani,ili mradi magamba tuwapige chini.
 
Back
Top Bottom