Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.[/QUOTE
kwa kuongeza mkuu,
Baada ya kusoma hizi taarifa nilishtuka kidogo, Kisha nikapiga simu Arusha kujua ukweli wa jambo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa wilaya ambaye asingeweza kunificha Jambo. Yeye mwenyewe akaanza kunishangaa mimi. Hakuna kiongozi mwenye malalamiko dhidi ya LEMA, wanamwona kama shujaa wao. JF wangetendea haki kwa kufuta thread hii. Haina viwango vya kuwekwa hapa. Kweli JF siku hizi tumeingiliwa.
Hii barua ukicheck ina utata mkubwa sana na inaelekea imetungwa mtaani ni hooligans fulani.
Barua imeandikwa tarehe 05 November 2012 halafu kumbukumbu ya barua ni KUMB/NO 01/CDM/AR.......... yaani mwaka mzima wamendika barua mmoja tu??
Kwa vipi hawana address yao wenyewe wakati wanayo ya Katibu mkuu??
Nafikiri ni kazi ya kina TUNTEMEKE hii!!