ok... so wewe ni mjumbe wa nini/nani?waulize wanachadema wa Arusha walioandika hiyo barua kwenye makao makuu ya chama. Mimi simo ni mjumbe tu.
ok... so wewe ni mjumbe wa nini/nani?waulize wanachadema wa Arusha walioandika hiyo barua kwenye makao makuu ya chama. Mimi simo ni mjumbe tu.
Ukifuatilia mjadala huu utagundua vijana wengi wanaoishabikia chadema sio wapinga ufisadi ila wanataka wapate nafasi ya kufisadi. Hakuna kijana hata mmoja wa chadema anayeona kuwa kilichofanywa na Lema ni tatizo!!!
Kwa namna hii mwananchi wa kawaida asitegemee maendeleo toka kwa wanasiasa.
Heshima kwenu wakuu,
Najua mnajua msimamo wangu linapokuja swala la kamanda Lema.
Niliwahi kusema CDM Arusha hakuna mwenyekiti wa wilaya hakuna katibu wa wilaya,hakuna mwenyekiti wa mkoa hakuna katibu wa mkoa.Vikao vya chama ngazi ya wilaya na mkoa wa Arusha hakuna.Matamko ya chama na kazi za chama mkoa na wilaya ya Arusha zimetekwa na Lema na kundi lake la wahuni.Ukitaka kugombea udiwani hakuna haja ya kufuata taratibu na kanuni za chama unachotakiwa kukifanya ni kumwona Lema atamaliza kila kitu na hichi ndicho kilichotokea Daraja II.
Umenena Mkuu mapenzi ni upofu wapo wasiopenda kukosolewa
Lema ana wajibu wa kujibu hizi tuhuma ni nzito na zinamchafua kupindukia
Siku nitakapoona unachangia walau kitu kimoja kizuri kuhusu Chadema, ntaanza kukusikiliza.waeleze wanaotaka tuamini kwamba Lema hana dhambi hata moja
Tuwe objective katika mambo. Lema ni mwanachama wa jf, ni vyema aje hapa mwenyewe atoe ufafanuzi juu ya tuhuma hizi, ni nzito sana
waeleze wanaotaka tuamini kwamba Lema hana dhambi hata moja
Heshima kwenu wakuu,
Najua mnajua msimamo wangu linapokuja swala la kamanda Lema.
Niliwahi kusema CDM Arusha hakuna mwenyekiti wa wilaya hakuna katibu wa wilaya,hakuna mwenyekiti wa mkoa hakuna katibu wa mkoa.Vikao vya chama ngazi ya wilaya na mkoa wa Arusha hakuna.Matamko ya chama na kazi za chama mkoa na wilaya ya Arusha zimetekwa na Lema na kundi lake la wahuni.Ukitaka kugombea udiwani hakuna haja ya kufuata taratibu na kanuni za chama unachotakiwa kukifanya ni kumwona Lema atamaliza kila kitu na hichi ndicho kilichotokea Daraja II.
Wewe acha kujikomba huyo Lema kila mtu anajua ni muhini tu tena nasikia anatafutwa na polisi UK kwa kesi ya kubakaLema ni Mwiba kwa Mamluki na CCM.Mlitegemea wangekaa kimya muda huu?Lengo ni kurusha tuhuma tu katika namna ya kujinusuru.uongo mtupu.Mlikua wapi siku zote?Hamtaweza kututoa kwenye ajenda yenu ya usaliti.hizi zinajibiwa au kupuuzwa na kisha tunaendelea na ajenda yenu ya vibaraka.nothing more,nothing Less....
chadema tujisahihishe na kujikosoa chama kitafika mbali
We kijana acha ushamba. Tetea nchi yako we unamfananisha Lema na Mafisadi wako wanaoibia mchana kweupe?. Pia JF ni sehemu iliyo wazi kuongea wazo lako unaloona linafaa. Usitake kuleta mambo ya kujifanya wewe ndio mkongwe.Kama huu ndio upeo wetu hapa JF, mimi nadhani hili jina kwamba Jamiiforums ni "home of great thinkers" imefika wakati tulifikirie upya.
Lema ni Mwiba kwa Mamluki na CCM.Mlitegemea wangekaa kimya muda huu?Lengo ni kurusha tuhuma tu katika namna ya kujinusuru.uongo mtupu.Mlikua wapi siku zote?Hamtaweza kututoa kwenye ajenda yenu ya usaliti.hizi zinajibiwa au kupuuzwa na kisha tunaendelea na ajenda yenu ya vibaraka.nothing more,nothing Less....
kwa sasa adui wakuu wa CDM ni wawili, Masalia pamoja na CCM.. Nategemea kusikia mengi, ila mwisho wa siku ukweli utajulikana. Namwomba Mungu ukweli usichelewe....Lema ni Mwiba kwa Mamluki na CCM.Mlitegemea wangekaa kimya muda huu?Lengo ni kurusha tuhuma tu katika namna ya kujinusuru.uongo mtupu.Mlikua wapi siku zote?Hamtaweza kututoa kwenye ajenda yenu ya usaliti.hizi zinajibiwa au kupuuzwa na kisha tunaendelea na ajenda yenu ya vibaraka.nothing more,nothing Less....
Hapa nakuunga mkono,kuna mantiki kwenye hili.lazima ijengwe taasisi na si mtu.Lazima tukisikie chama huko Arusha na si Lema asubuhi,mchana na usiku.