Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

kwa sababu Lema anapendwa sana Arusha ndio kusema na kashfa zake zinapendwa sana Chadema?
Mwache Lema na Chadema, kwa kuwa anaua chama, na wewe kwa posts zako hupendi chadema, tena unatamani kife.

Ndio maana unalalamika kuhusu Mnyika, Mdee, Slaa, Mbowe. Lakini hatukusikiii unalalamikia viongozi wengine nje ya CDM. Kazi yako ni kutoa habari mbaya za Chadema kwa kuwa unaichukia.

Acha unafiki.
 
Mimi kama mkazi wa Arusha na mpenda mabadiliko ya kweli, tuhuma zilizotolewa juu ya Lema ni nzito sana na zimewakilishwa makao makuu ya Chadema. kwanza Lema anatakiwa ajitafakari na kuona kama zinaukweli wowote, na kama zinaukweli basi hana budi kujirekebisha kwa maslahi ya chama, ya wananchi na wapenzi wa Chadema Arusha.

Pili Chadema tusilewe sifa tukajisahau kwamba siku zote tutaendelea kukaa juu, pale mtu anapokosea sisi kama wadau tunatakiwa tumrekebishe (kama Mwenyekiti Taifa- Mhe Mbowe anakubali kurekebishwa kwanini Lema akatae!).

Mtoa mada ameleta barua iliyotumwa makao makuu kama ilivyo ila inashangaza wadau tunaanza kumshambulia kama yeye ndio mwandishi wa hiyo barua. Tulitakiwa tuchambue yaliyoandikwa kama yana ukweli wowote ndio tutoe hoja, kubisha bila misingi inaashiria hatujakomaa kifikra.

kama Great Thinkers lazima tujiulize hicho kiwanja kimeandikishwa kwa jina gani? Je Trekta lipo na nani alishasaidiwa kulima? ambulance ipo wapi na nani ameshawahi kuiona? ArDF imeshapokea kiasi gani cha fedha na watoto wangapi wameshasaidiwa?

Tulianza na Mungu,tutamaliza na Mungu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.

Umenena Mkuu mapenzi ni upofu wapo wasiopenda kukosolewa
 
mods, ziweke wazi hiyo document naona naandamwa mimi au mwanajf yeyote aziweke wazi kwani zina ushahidi wa ninachosema dalili hizo ni mbaya kwa chadema arusha.

doc. Si hoja, nyie mnajitengenezea hata msg za mauaji na vitisho na matusi, mnajitumia halafu mnadai zimetoka kwa viongozi wa cdm! Nyie noma. Ukiona mtu hajali hata kujitukana mwenyewe, kisa tu ionekane ni adui kamtukana, ujue huyo ni hatari, hata kichwa ake hakiko sawa
 
By MAMA POROJO

mods niko ndago msifute ni kweli.

wabunge wa chadema walifika saa
8.30 mchana huu lakini fujo na kuendelea kati ya mashabiki wa ccm na chadema watu wawili nimeona wamekufa na wengine kujeruhiwa kwa mawe. hali si shwari nitaleta taarifa zaidi baadaye natumia simu
KWENYE MKUTANO KUNA JOHN MNYIKA NA KITILA MKUMBO KIJANA ALIYEKUFA ANAITWA YOHANA MPINGA MIAKA 30 MKAZI WA KIJIJI CHA SONGAMBELE KATA YA NDAGO JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI LA MBUNGE MWIGULU NCHEMBA INADAIWA NI MFUASI WA CCM KAPIGWA KWA MAWE. WANA CDM TISA WAMEKAMATWA NA POLISI.

NAAMBIWA YULE WA PILI ALIKUWA BADO KUFA KAKIMBIZWA HOSPT.

CDM walipofika eneo la mkutano kabla ya utambulisho WAITARA akaanza kumtukana MWIGULU NCHEMBA kuwa ni malaya, fisadi na mwongo ndipo mtu mmoja wa ccm akasisimama kwa amani na kutaka wasitoe matusi bali waongee sera. ghafla mawe yakaanza kuporomoshwa na kutupwa ikawa vurugu hadi mauaji.

UPDATES..

quote_icon.png
By Tumaini Makene
Wakuu na Mods

Njia ya muongoni fupi sana. Wabunge wa CHADEMA wasiokuwa na majina wamefika Ndago saa 8.30 mchana?????!!!!!!

Wakuu, kuna Operesheni ndogo kwa Mkoa wa Singida yakiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa kwa mikoa mitano, Singida, Iringa, Dodoma, Manyara na Morogoro, kama ilivyoazimiwa na Kamati Kuu mapema wiki hii.

Kazi hiyo iko chini ya timu inayoongozwa na Kamanda Mwita Mwikabwe Waitara, yeye ndiye mratibu wa ziara hii fupi na leo ilianzia katika Wilaya ya Iramba, Jimbo la Iramba Magharibi, ambapo mikutano ya hadhara imefanyika katika maeneo ya Ndago na Kinampanda.

Kulikuwa na taarifa tangu siku tatu zilizopita, timu ikiwa bado Dar es Salaam, kuwa kuna kikundi cha vijana wamekodiwa, wananunuliwa pombe, wakiandaliwa kufanya fujo ili mkutano huo usifanyike kisha ionekane CHADEMA wameshindwa kufanya mkutano kwa Mwigulu Nchemba. Bahati mbaya sana kitumbua chao kimeingia mchanga. Nafikiri hata huyu mleta maada ni sehemu ya hiyo propaganda.

Sasa wakati mkutano umefunguliwa tu, Kamanda Mwita akawa-preempty kwa kuwaambia kuwa taarifa hizo tayari zinajulikana na polisi wawe makini. Haa! Jamaa waka-panic. Walikuwa mbele kabisa pale. Wakaanza kurusha maneno, wanapiga makelele, wanazunguka zunguka pale mbele ya hadhara. Mbele ya polisi. No action.

Kelele za kundi lile, hazikuwa zikivumilika. Wananchi hawakukubali uvunjifu wa amani wa makusudi uliokuw aukifanywa mbele ya polisi. Yaani sinema ile ilikuwa Ilemela-type, kule ambako wabunge wa CHADEMA walivamiwa, kukatwa mapanga mbele ya polisi wenye silaha. Brothers, huwezi kuamini lile kundi likajitenga pembeni na kuanza kurusha mawe.

Wananchi wengi waliokuwa pale mkutanoni kwa mamia, hawakukubali ufidhuli ule. Wakawafukuzilia mbali wale wahuni. Mkutano ukaendelea kwa amani kabisa, kisha tukaelekea mkutano wa pili Kinampanda, ambako John Mnyika, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi na Mbunge wa Ubungo, amemaliza kupiga nondo kama alivyopiga Ndago.

Wananchi wamemskiliza John kwa makini, sasa kazi zinanunuliwa. Nondo zinawagusa wananchi wa Iramba Mashariki, yakiwa ni maandalizi ya Opereseheni kubwa inayokuja mikoa hii muda si mrefu.

"Wewe mpiga Porojo tumekuzoea,soma taarifa za porojorist na Kamanda Tumaini ujue definition ya Porojorist!!!!!!!!!!"

Ni vyema kufanyia kazi kilichoandikwa badala ya kumshambulia mleta mada. Mada hii ni muhimu sana kwa ustawi wa tanzania na chadema
 
Mimi kama mkazi wa Arusha na mpenda mabadiliko ya kweli, tuhuma zilizotolewa juu ya Lema ni nzito sana na zimewakilishwa makao makuu ya Chadema. kwanza Lema anatakiwa ajitafakari na kuona kama zinaukweli wowote, na kama zinaukweli basi hana budi kujirekebisha kwa maslahi ya chama, ya wananchi na wapenzi wa Chadema Arusha.

Pili Chadema tusilewe sifa tukajisahau kwamba siku zote tutaendelea kukaa juu, pale mtu anapokosea sisi kama wadau tunatakiwa tumrekebishe (kama Mwenyekiti Taifa- Mhe Mbowe anakubali kurekebishwa kwanini Lema akatae!).

Mtoa mada ameleta barua iliyotumwa makao makuu kama ilivyo ila inashangaza wadau tunaanza kumshambulia kama yeye ndio mwandishi wa hiyo barua. Tulitakiwa tuchambue yaliyoandikwa kama yana ukweli wowote ndio tutoe hoja, kubisha bila misingi inaashiria hatujakomaa kifikra.

kama Great Thinkers lazima tujiulize hicho kiwanja kimeandikishwa kwa jina gani? Je Trekta lipo na nani alishasaidiwa kulima? ambulance ipo wapi na nani ameshawahi kuiona? ArDF imeshapokea kiasi gani cha fedha na watoto wangapi wameshasaidiwa?

Tulianza na Mungu,tutamaliza na Mungu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.
atutaki kusikia chochote sasa hivi,tunachoweza kusikia na kuona ni kuwatoa ccm madarakani,mengine yote hayana maslahi na sisi wanachadema,hivyo mtu akija na oja zake kwamba,Lema kafanya hili,Zito kafanya hili,Slaa kafanya hili,Mboe kafanya hili,sisi atumsikilizi, wanajiangaisha bure kwetu sisi ni kuwatoa ccm tu,madarakani ndio lililo mbele yetu
 
Anyway, issue ya mtu mmoja pale Lumumba kukaa na kuandika hii kitu yenye font tofauti tofauti ni jambo la kawaida.
Walishaandika nyingine tena, wanaandika, wana-scan na kurusha kwenye mitandao ya kijamii.
Mtu kama wewe ukipita pita zako huko unaiokota unaileta hapa huku ukiwa hujui ilikotokea.

Nani anaweza kuthibitisha kwamba huu waraka ni barua ya watajwa na ilitumwa na KUFIKA makao makuu.

Very simple, kama wewe ni kiongozi, unasema Lema alileta Pikipiki, then unasema hujui ilipo, sasa tumuulize nani zaidi yako wewe unayejiita Kamanda? Yani mletewe pikipiki halafu ipotee, halafu mumuulize Lema.

Wendawazimu mwingine.

Issue ya Shamba Burka ilishakuja hapa na barua yake kama hii ya kipuuzi,
Isue ya michango ya Wafiwa ilishakuja hapa kwa barua za kizembe kama hizi na ikatolewa ufafanuzi sawia.

Hizi siasa sa CCM za hovyohovyo tu. Ukitaka heshima shurti Ufanye yenye kuleta Heshima......:A S 100:

Kikubwa hapa ni kupata taarifa ya chadema.

Wanachadema hawana taarifa sahihi ya wapi zilipokwenda rasilimali zao.
 
jamani kusambaratika kwa cuf,nccr na tlp, chadema pamoja na wanachama wao wamejifunza mengi yakutosha,nadhani magamba watakuwa wanajisumbua kufikiri watafanikiwa kuisambaratisha
 
Nimezisoma hizo nyarakafeki, sijaona ukashfa wala chembe ya kuiua chadema!

Mods: kumekuwa na taswira flani ya uachaji wa mijadala ya kizushi inayotupotezea mda na kushusha hadhi ya jukwaa hili!

Uzushi kama huu haina haja ya kuuacha watu waendelee kuangalia!

Mods hawahitaji maelekezo au kufundishwa kazi yao.

Wana uzoefu kwa kiasi ambacho hata sauti iliyoko nyikani wana uwezo wa kuisikia.

Jf Motto: We Dare to Talk Openly!
 
Tusiwe wabaguzi kashfa hii ingekuwa ya ZITTO au SHIBUDA utetezi ungekuwa mdogo sana.

Je, Kuna viongozi ndani ya chadema hawatakiwi kuguswa?
Wewe ni mtu wa kueneza habari mbaya tu za Chadema na tena za uzushi.

Leo uko Iramba kwenye mauaji, kesho umebomolewa Kawe, siku nyingine uko Ubungo. Simply huaminiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
By MAMA POROJO

mods niko ndago msifute ni kweli.

wabunge wa chadema walifika saa
8.30 mchana huu lakini fujo na kuendelea kati ya mashabiki wa ccm na chadema watu wawili nimeona wamekufa na wengine kujeruhiwa kwa mawe. hali si shwari nitaleta taarifa zaidi baadaye natumia simu
KWENYE MKUTANO KUNA JOHN MNYIKA NA KITILA MKUMBO KIJANA ALIYEKUFA ANAITWA YOHANA MPINGA MIAKA 30 MKAZI WA KIJIJI CHA SONGAMBELE KATA YA NDAGO JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI LA MBUNGE MWIGULU NCHEMBA INADAIWA NI MFUASI WA CCM KAPIGWA KWA MAWE. WANA CDM TISA WAMEKAMATWA NA POLISI.

NAAMBIWA YULE WA PILI ALIKUWA BADO KUFA KAKIMBIZWA HOSPT.

CDM walipofika eneo la mkutano kabla ya utambulisho WAITARA akaanza kumtukana MWIGULU NCHEMBA kuwa ni malaya, fisadi na mwongo ndipo mtu mmoja wa ccm akasisimama kwa amani na kutaka wasitoe matusi bali waongee sera. ghafla mawe yakaanza kuporomoshwa na kutupwa ikawa vurugu hadi mauaji.

UPDATES..

quote_icon.png
By Tumaini Makene
Wakuu na Mods

Njia ya muongoni fupi sana. Wabunge wa CHADEMA wasiokuwa na majina wamefika Ndago saa 8.30 mchana?????!!!!!!

Wakuu, kuna Operesheni ndogo kwa Mkoa wa Singida yakiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa kwa mikoa mitano, Singida, Iringa, Dodoma, Manyara na Morogoro, kama ilivyoazimiwa na Kamati Kuu mapema wiki hii.

Kazi hiyo iko chini ya timu inayoongozwa na Kamanda Mwita Mwikabwe Waitara, yeye ndiye mratibu wa ziara hii fupi na leo ilianzia katika Wilaya ya Iramba, Jimbo la Iramba Magharibi, ambapo mikutano ya hadhara imefanyika katika maeneo ya Ndago na Kinampanda.

Kulikuwa na taarifa tangu siku tatu zilizopita, timu ikiwa bado Dar es Salaam, kuwa kuna kikundi cha vijana wamekodiwa, wananunuliwa pombe, wakiandaliwa kufanya fujo ili mkutano huo usifanyike kisha ionekane CHADEMA wameshindwa kufanya mkutano kwa Mwigulu Nchemba. Bahati mbaya sana kitumbua chao kimeingia mchanga. Nafikiri hata huyu mleta maada ni sehemu ya hiyo propaganda.

Sasa wakati mkutano umefunguliwa tu, Kamanda Mwita akawa-preempty kwa kuwaambia kuwa taarifa hizo tayari zinajulikana na polisi wawe makini. Haa! Jamaa waka-panic. Walikuwa mbele kabisa pale. Wakaanza kurusha maneno, wanapiga makelele, wanazunguka zunguka pale mbele ya hadhara. Mbele ya polisi. No action.

Kelele za kundi lile, hazikuwa zikivumilika. Wananchi hawakukubali uvunjifu wa amani wa makusudi uliokuw aukifanywa mbele ya polisi. Yaani sinema ile ilikuwa Ilemela-type, kule ambako wabunge wa CHADEMA walivamiwa, kukatwa mapanga mbele ya polisi wenye silaha. Brothers, huwezi kuamini lile kundi likajitenga pembeni na kuanza kurusha mawe.

Wananchi wengi waliokuwa pale mkutanoni kwa mamia, hawakukubali ufidhuli ule. Wakawafukuzilia mbali wale wahuni. Mkutano ukaendelea kwa amani kabisa, kisha tukaelekea mkutano wa pili Kinampanda, ambako John Mnyika, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi na Mbunge wa Ubungo, amemaliza kupiga nondo kama alivyopiga Ndago.

Wananchi wamemskiliza John kwa makini, sasa kazi zinanunuliwa. Nondo zinawagusa wananchi wa Iramba Mashariki, yakiwa ni maandalizi ya Opereseheni kubwa inayokuja mikoa hii muda si mrefu.

"Wewe mpiga Porojo tumekuzoea,soma taarifa za porojorist na Kamanda Tumaini ujue definition ya Porojorist!!!!!!!!!!"

unataka kuficha ukweli hiki ulicholeta hapa hakina uhusiano na kashfa hii.

usikwepeshe mada
 
Maana ya kuwa great thinker ni kuchambua taarifa unayopata. Sasa hapa jf watu wanachambua watu badala ya hoja
 
Umbea at its peak stage. Waliotayarisha hiyo document ni watu wawili halafu wakaorodhesha majina ya wahusika wengine. Sisi tutajuaje kwamba hao wenye hayo majina wapo na ni wanachama wa Chadema Arusha? Na kwa nini hawakupelekewa huo waraka wasaini? Mambo mengine walipashwa kumuuliza Lema mwenyewe au uongozi wa Wilaya kama yana ukweli wowote kuliko kukimbilia kupeleka malalamiko fake makao makuu ya Chama.

Hawa inabidi waulizwe walivuta pesa kiasi gani kutoka kwa Nape/Wassira.

Tiba
 
Tuwe objective katika mambo. Lema ni mwanachama wa jf, ni vyema aje hapa mwenyewe atoe ufafanuzi juu ya tuhuma hizi, ni nzito sana
 
Maana ya kuwa great thinker ni kuchambua taarifa unayopata. Sasa hapa jf watu wanachambua watu badala ya hoja
Furahini kwa kuwa kama kashfa hizo ni za kweli ni habari njema kisiasa kwenu CCM kwani mnapata point za kurudisha kiti cha bunge cha Jimbo la Arusha Mjini mnalolitamani sana.

Kumbuka: Mchawi, Mnafiki na muongo si watu wa kuendekeza. Tumemshtukia MAMA POROJO.
 
Heshima kwenu wakuu,

Najua mnajua msimamo wangu linapokuja swala la kamanda Lema.

Niliwahi kusema CDM Arusha hakuna mwenyekiti wa wilaya hakuna katibu wa wilaya,hakuna mwenyekiti wa mkoa hakuna katibu wa mkoa.Vikao vya chama ngazi ya wilaya na mkoa wa Arusha hakuna.Matamko ya chama na kazi za chama mkoa na wilaya ya Arusha zimetekwa na Lema na kundi lake la wahuni.Ukitaka kugombea udiwani hakuna haja ya kufuata taratibu na kanuni za chama unachotakiwa kukifanya ni kumwona Lema atamaliza kila kitu na hichi ndicho kilichotokea Daraja II.

Back
Top Bottom