Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

kWANZA HUYO ALIYE POST HII COMMENT KUHUSU LEMA NI KIBARAKA WA CCM! LEMA NI JEMBE CCM HATA MFANYEJE ARUSHA HAMA CHENU: LEMA NI MWIBA TENA MWIBA WENYE SUMU KALI KWA CCM CHAMA CHA MAGAMBA
 
Vijana tuwe wise mama porojo amebandika barua na anaomba uchunguzi ufanyike na uongozi wa chadema kwa manufaa ya watu wa arusha na kujenga uongozi bora ndani ya chama cha chadema.kwanini tunadakia kuanza kupinga haraka.kama mtu ameleta tuhuma basi zichunguzwe kiundani ili ukweli uwe wazi.Ni lazima tukubari chama cha chadema kikosorewe ili kuwa jenga viongozi wetu na kuonesha kama wananchi tumeamka.sasa kama we utakuwa unasema kila tuhuma anazoleta mtu unaanza kusema ametumwa na CCM basi tutashindwa kujua mengi sana na wajibu wetu kama tunakipenda chama cha chadema tukijenge kwa kukikosoa pale inapohitajika ili kiwe chama bora.
 
hizi ni porojo za wazi kabisa kama zilivyowasilishwa na mama porojo...
 
Viwanja vya Burka vitolewa yeye sio mbunge, asingeweza kuomba kwa waarusha wapi?
kwa hiyo ww unaona hizo tuhuma ni majungu dhidi yake? tofauti ni nini? na tuhuma zingine zinazotolewa kwa wanasiasa wengine za KIFISADI. au njia ndo ileile waipitayo CCM.
 
sahihi ya lema iko wapi hapo?

Imany John hivi wewe una akili kweli? Au ndiyo tuseme ubongo wako upo kama wa mbuni anapoona hatari anaficha kichwa kwenye shimo lakini mwili wote upo nje? Lema atasaini wapi hapo wakati yeye ndiye anayetuhumiwa? Au ulitaka na yeye atie sahihi kwenye hizo tuhuma zinazomhusu?
Onyesha hata kidogo kuwa unafikiria kijana acha kuropoka ili uonekane na wewe hapa kuwa umetuma post. This is truely a brand new brain au tuseme its an empty hard drive
 
Mkuu unabishana na tejka alieisha piga viroba, unapoteza muda wako
 
Hii Arusha ipi inayozungumziwa mbona mambo ni shwari kwa chadema na watu wakisikia chama kingine wanapatwa na allege
 
Mukiambiwa Chadema ni chama cha kikabila mnabisha,oneni sasa laiti tuhuma hizi zingemkabili mwanachama yoyote asiye kua mchaga tayari sasa hivi vikao vingalikwisha itishwa na muhusika kesha fukuzwa,ila sasa tuone kama kuna hatua zozote zitakazo chukuliwa dhidi ya lema na tuhuma nzito zinazomkabili.......CHALEMA OYEEEEEEEE......TRIBU'S POWER
 
hawa wachumia tumbo hamjaacha tu, arusha tunaijua sisi wala Dk hana sababu ya kuja kushughulikia mipasuko kimsingi njaa zenu zitawaua, milijpanga kugombea ubunge baada ya lema kuondolewa na mahakama sasa mmeshindwa mnakuja na hoja za viwanja. sahauni jimbo la arusha mjini, nyie nendeni kwa magamba, mkapate kula machumia tumbo makubwa, au endeleeni kufanya ziara kenya mkijifanya mnaenda kikazi kumbe kujikomba kwa balozi Mh batilda. jianadeni kumlipa lema nyie mamluki, usiku chadema mchana magamba
 
Kama kweli upo Arusha na unampenda Lema unfemsaidia aje atoe huu ufafanuzi kwani haileti pucha nzuri kwake binafsi na siyo kushutumu watu eti kwa sababu walitaka kugombea ubunge. Lema ni janga pamoja na kumtetea kwa nguvu zote
 
Vijana tuwe wise mama porojo amebandika barua na anaomba uchunguzi ufanyike na uongozi wa chadema kwa manufaa ya watu wa arusha na kujenga uongozi bora ndani ya chama cha chadema.kwanini tunadakia kuanza kupinga haraka.kama mtu ameleta tuhuma basi zichunguzwe kiundani ili ukweli uwe wazi.Ni lazima tukubari chama cha chadema kikosorewe ili kuwa jenga viongozi wetu na kuonesha kama wananchi tumeamka.sasa kama we utakuwa unasema kila tuhuma anazoleta mtu unaanza kusema ametumwa na CCM basi tutashindwa kujua mengi sana na wajibu wetu kama tunakipenda chama cha chadema tukijenge kwa kukikosoa pale inapohitajika ili kiwe chama bora.
Yaani Chama makini Kikosorewe kwa madocument ya kupika? Kwa taarifa yako uongozi wa CDM unaelewa kinachoendelea katika taifa letu: CCM katika harakati za kurudisha jimbo mikononi mwake. Too late!
 
Ni kweli ila hiyo haki iwe ni ya ukweli kuliko uongo. Hiyo jamii itakapogundua kuwa uliwadanganya hata kama ilikuwa haki yao watakuchukia milele. Lakini ukiwaambia ukweli watakuamini hasa suala lenyewe linapokuwa halina madhara ya moja kwa moja kwao.

Mapambano ya haki ni ya kujitoa zaidi,
 
Political propaganda! Please ignore!

Kweli nimeamini huu ulikuwa ni upepo tu utapita naona kama unapita. Watu wanaanza kuzoea kuwa hata huko kwenye tumaini la watanzania mafusadi wapo. Ngoja tuone atakavyoweza kusimama na kuwanyoosgea wenzake vidole
 
Jitihada za kumuokoa LEMA na kashfa hii zimeota mbawa? wako wapi watetezi wake ambao wameapa kwamba LEMA hawezi kufanya dhambi hata moja na hapaswi kuguswa.
 
huu ndo ubaya wa cdm ukiwapa ukweli wanakejeli kibao den mods wanachekelea tu

Habari yenyewe ya mwezi wa tano mwaka jana, unatuletea leo kama siyo bange ni nini? siyo lazima upost thread, unaweza kubaki kusoma za wenzako wenye akili au kuchangia maoni tu.
 
Back
Top Bottom