Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Barua ya uongo hii!! Mmeitengeneza!! Tumieni kila mbinu kabisa!!Rufaa mmeshindwa sasa mmeibua barua ya kughushi kama ile kadi ya SSM ya uongo ya Katibu. Mama Porojo kweli wewe ni kiboko!! Hongereni sana!! Na mara baada ya kuiweka hapa tu wale pro SSM mmepeana taarifa mje mshushe kiu hapa!! Nawaona sana rafiki wa SSM hapo!! Itakula kwenu!! CDM inawapa kifafa cha mimba.