Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Credit nzuri kwa Chadema. Uchaguz ukirudiwa Lema atapta tena na ndo kitakuwa kifo cha CCM
washenzi hawa wamepanga kutokuitisha uchaguzi mwingine mpaka 2015 jimbo litakaa wazi kama kwa wale madiwani lakini moto wake watauona tu
 
Wananchi wa arusha kuwaumbua sisiemu uchaguzi ukirudiwa mgombea wa sisiemu apate kura 10 tu,moja ya kwake,mbili ya mkewe/mumewe na 8 kutoka kwa ndugu na marafiki wake tu!
 
Tuone Segerea Itakuwaje.Kama Mahanga asipopokonywa Ubunge.Mimi ntajitoa Mhanga
 
cdm jimbo ni letu hata ccm wakimuweka kikwete cdm tukiweka bendera yetu ushindi utakuja kwa chadema tuuu peopleeeeeeeeeeeeeeeez power
 
Kama Lema hajazuiwa kugombea tena, basi CHADEMA wasikate rufaa, waingie kwenye uchaguzi ili wananchi wa Arusha mjini wamalize hii mashauri kimoja. Lakini kwa tahadhari kubwa, uchaguzi ukirudiwa, CHADEMA wajiandae kwa mizengwe ya hali ya juu. Hili jimbo linatafutwa na mitandao yote ya CCM. NEC na janjaweed wa CCM wataleta mizengwe isiyo na mfano, na wizi wa kura utakuwa number moja kwenye list ya CCM.
 
Mie natokea mahakamani wanajf kwanza hukumu imesomwa kwa 5mins huwezi kuamini kwa maana hiyo ule uzi uliokuwa unaendelea humu juu ya jaji kuongwa na Lowasa inaonyesha ni kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom