Nimepokea sms toka kwa jamaa yangu wa karibu ambaye ni kada mkubwa wa magamba kanidokeza kuwa kuna tetesi chama kimejipanga kumrejesha mgombea mwanamke na chapuo linamwendea Mbunge wa Viti maalumu Ndugu, Dada yetu Nameloki Sokoine. wadau mwasemaje? je huyu dada katolewa kafara ama magamba wanategemea kutumia historia ya baba ya binti huyu, waziri mkuu kipenzi cha watanzania Hayati edward moringe sokoine kwa manufaa yao? sielewi!
Huyo dada namfahamu ni mshenzi sana na sijui alipateje pataje ubunge wa viti maalumu kupitia Monduli!!!!
Akigombea huyo hata kama CDM ikisimamisha kivuli, kivuli kitashinda tu na siyo yeye tu hata JK akija hapa atashindwa maana hata kura zar urais Arusha hazikutosha dhidi ya Dr. Slaa.
Huyu ushenzi wake ni upi mkuu? mbona anaonekana ni mstaarabu sana! nampa heshima zangu kwa heshima ya Marehemu Hayati sokoine!Huyo dada namfahamu ni mshenzi sana na sijui alipateje pataje ubunge wa viti maalumu kupitia Monduli!!!!
Akigombea huyo hata kama CDM ikisimamisha kivuli, kivuli kitashinda tu na siyo yeye tu hata JK akija hapa atashindwa maana hata kura zar urais Arusha hazikutosha dhidi ya Dr. Slaa.
Walete watoto wote wa marais, mawaziri wakuu, wote wataangukia pua.
Nakumbuka sana siku Lowassa alipokuja kumpigia kampeni AICC kupitia viti maalum.
Wamama walilalamika sana kitendo cha Lowassa kuja kumpigia kampeni hawara wake. Tena walidai kuwa Lowassa anataka kuwaweka hawara zake tu, maana Jimbo la Arusha alifanikiwa kumpitisha hawara mwingine ambaye ni Batilda.
Kwani Arumeru mlitumia ngapi?Hata mumsimamishe Slaa, hampati kitu hapa. CCM tumejipanga kulichukua hili jimbo hata kwa bilion 900. Mtajibeba!!!
Heeeeh! kumbe walikuwa wanafanya hako kamchezo eeeh? na yule mtoto je?