Sasa inadhihirisha alichoniambia rafiki yangu mkubwa moja kwenye serikali ya CCM aliniambia anamnukuu,Godbless Lema,Mnyika,Tundu Lissu wote watapigwa chini na chaguzi zikirudiwa hawatashinda kwa gharama yeyote ile
Dr Wilbroad Slaa ataondolewa duniani kabla ya 2015
Ndani ya chadema wameshapandikiza watu wao kabla ya 2014 itasambaratika
Lakini mimi kama mpenda mabadiriko ni na imani na nguvu ya umma,hakuna kiumbe chochote chini ya ardhi kinachoweza kuzuia mabadiriko muda wake ukifika
Kwa sababu CCM wamejianika uchi wa mnyama wamerahisisha njia ya ukombozi Chadema itachukua dora
Kwa mwenendo wa kesi hii ulivyokuwa wazi na jinsi hukumu inavyojidhihilisha kuwa ni ya kuchongwa Lema na Chadema watapewa sympathy vote hakuna bomu,wala washawasha wala bunduki itakayozuia upepo wa mabadiriko
Nimtahadharishe Mh Jakya Kikwete na CCM kwa ujumla wasije jikuta wanachomekwa majiti kama alivyofanyiwa gaddafi nipo hapa Dar mood opfisini kwangu imebadirika hata kwa wanoko wa CCM hawaamini kilichotokea sawa bwana mujue nchi hii ni yetu wote ,siku mutajuta hamjafa ,Usalama wa taifa ulishapoteza hadhi siku nyingi,polisi ndio usisema na sasa mahakama,sasa ngojeni hukumu ya wananchi